I think Viatu pia is okay, kama unajua size yake.
Inapendeza zawadi ikiwa ya kuoneshea palepale matumizi,ndomana wanachagua saa. Ni simple kumvalisha mtu wake.
Kuna moja nliona tofaut kidogo,alinunua zawadi ya kifaa cha kufanyia mazoez (hubby to be kibonge ivi)
Sent using
Jamii Forums mobile app