Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
pia kuhusu suala la zawadi me naona zawadi ya upendo ndio zawadi kubwa zaidi kuliko zote ambazo naweza kufurahia kutoka kwa mke wangu (siku nikioa)zawadi ya saa hua ni ishara ya bidada kumkumbusha mumewe wakati wa kuwahi nyumbani kutimiza wajibu wake wa ndoa..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
OK. Hebu tushirikishe namna utakavyompa hiyo zawadi ya upendo.Maana upendo siyo kitu unachoweza kusimana sehemu na kusema..."upendo uleeee"...au..."shika huu upendo nimeufunga kwenye gazeti"...au..."yule paleee ana upendo mwilini mwake"...!Tushirikishe mkuu.pia kuhusu suala la zawadi me naona zawadi ya upendo ndio zawadi kubwa zaidi kuliko zote ambazo naweza kufurahia kutoka kwa mke wangu (siku nikioa)
Sent using Jamii Forums mobile app
upendo ni care tu na wala si kingine!!OK. Hebu tushirikishe namna utakavyompa hiyo zawadi ya upendo.Maana upendo siyo kitu unachoweza kusimana sehemu na kumsema..."upendo uleeee"...au..."shika huu upendo nimeufunga kwenye gazeti"...au..."yule paleee ana upendo mwilini make"...!Tushirikishe mkuu.
How would you present "upendo" to your love,boss?Namna gani ungemzawadia?
Je,alipatia?Alikufundisha kitu?
Alipatia na alinifundisha kitu pia mkuuJe,alipatia?Alikufundisha kitu?
Funguka mkuu.Umeishia njiani.Alikufundisha nini?
pia kuhusu suala la zawadi me naona zawadi ya upendo ndio zawadi kubwa zaidi kuliko zote ambazo naweza kufurahia kutoka kwa mke wangu (siku nikioa)
Sent using Jamii Forums mobile app
bado cjapata wa kuoa pia , bado umri haujaruhusu kwa kiasi flan..!!
bado cjapata wa kuoa pia , bado umri haujaruhusu kwa kiasi flan..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
rashford ni kaka angu, rabda ungesema mbappe hapo sawa.. kingine unatakiwa ujue kuwa ndoa sio ashki za mapenzi, ila ndoa zina mambo mengi sana mkuru..
rashford ni kaka angu, rabda ungesema mbappe hapo sawa.. kingine unatakiwa ujue kuwa ndoa sio ashki za mapenzi, ila ndoa zina mambo mengi sana mkuru..
Sent using Jamii Forums mobile app