Nimeiona.Rudi kwenye original post, nime update kwa kuweka jibu.
Tiba
DodomaWadau wa JF, natoa zawadi ya Tshs. 100,000 kwa yeyote atakayeweza kusema bila kukosea kwamba picha hii ilipigwa sehemu gani katika hii dunia.
Update : Ikifika saa kumi kamili jioni leo tarehe 5 February 2014, endapo hakuna atakayekuwa amepatia, nitatoa jibu na kuondoka na laki yangu kibindoni.
Jibu : Hii Picha ilipigwa nchini Kenya eneo la Turkana. Ukitokeo Lodwar kuelekea kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, hii milima iko kushoto kwa barabara kuu. Ni milima iliyojipanga vizuri sana na inapendeza. Ukiangalia ardhi ya eneo hilo ni "semi Arid land" na shughuli kubwa ya wenyeji wa eneo hilo ni ufugaji. Kilimo ni kigumu kweli kweli eneo hilo.
Nasikitika kwamba hakuna aliyepata hivyo naondoka na laki yangu kibindoni. Nawashukuru wote walioshiriki kujaribu kupatambua mahali ilipopigwa hii picha.
Tiba
Mkuu Highlander, Same imeisha tajwa na wengi, nikawapa jibu la "umekosa"
Tiba
Tunakata rufaa bana....hili swali limetoka nje ya 'silabasi'!....wengi wetu, rightly, tulitegemea ni eneo mojawapo hapa nchini kwetu (Tanzania)! Btw, hilo jina la hiyo kambi linatukanisha kiaina hasa likitamkwa polepole...lolz Tiba
Wadau wa JF, natoa zawadi ya Tshs. 100,000 kwa yeyote atakayeweza kusema bila kukosea kwamba picha hii ilipigwa sehemu gani katika hii dunia.
Update : Ikifika saa kumi kamili jioni leo tarehe 5 February 2014, endapo hakuna atakayekuwa amepatia, nitatoa jibu na kuondoka na laki yangu kibindoni.
Jibu : Hii Picha ilipigwa nchini Kenya eneo la Turkana. Ukitokeo Lodwar kuelekea kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, hii milima iko kushoto kwa barabara kuu. Ni milima iliyojipanga vizuri sana na inapendeza. Ukiangalia ardhi ya eneo hilo ni "semi Arid land" na shughuli kubwa ya wenyeji wa eneo hilo ni ufugaji. Kilimo ni kigumu kweli kweli eneo hilo.
Nasikitika kwamba hakuna aliyepata hivyo naondoka na laki yangu kibindoni. Nawashukuru wote walioshiriki kujaribu kupatambua mahali ilipopigwa hii picha.
Tiba
Wewe Tiba hebu na mimi nikuulize swali na unijibu, ukipata unyo laki yangu, wallahi tena!Wadau wa JF, natoa zawadi ya Tshs. 100,000 kwa yeyote atakayeweza kusema bila kukosea kwamba picha hii ilipigwa sehemu gani katika hii dunia.
Update : Ikifika saa kumi kamili jioni leo tarehe 5 February 2014, endapo hakuna atakayekuwa amepatia, nitatoa jibu na kuondoka na laki yangu kibindoni.
Jibu : Hii Picha ilipigwa nchini Kenya eneo la Turkana. Ukitokeo Lodwar kuelekea kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, hii milima iko kushoto kwa barabara kuu. Ni milima iliyojipanga vizuri sana na inapendeza. Ukiangalia ardhi ya eneo hilo ni "semi Arid land" na shughuli kubwa ya wenyeji wa eneo hilo ni ufugaji. Kilimo ni kigumu kweli kweli eneo hilo.
Nasikitika kwamba hakuna aliyepata hivyo naondoka na laki yangu kibindoni. Nawashukuru wote walioshiriki kujaribu kupatambua mahali ilipopigwa hii picha.
Tiba
Exactly! Ndio maana nikasema swali lake lipo nje ya "silabasi"...WATANZANIA WANGAPI WAMEFIKA SEHEMU HIYO TOKA WAZALIWE?
(ukiacha wewe mwenyewe)
Exactly! Ndio maana nikasema swali lake lipo nje ya "silabasi".