Zawadi kwa zawadi: Al-Shabaab "wajibu mapigo" ya Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi kwa zawadi: Al-Shabaab "wajibu mapigo" ya Marekani

Discussion in 'International Forum' started by MAMMAMIA, Jun 14, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Haya ni mateke ya mwisho ya farasi (al-Shabaab) anayekata roho.
  TFG, AMISOM, endeleeni kuwamaliza. Ulimwengu hauna nafasi kwa wauwaji.
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jamaa naona anajipunguzia life-span yake...
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mimi kilichoniweka hoi ni hiki katika red:
  Dhihaka iliyoje!
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tanzania imemkamata mmoja wa hawa militants anayetafutwa huko ujerumani; lakini kwa kufanya hivyo lazima iwe tayari kupambana na magaidi hawa kwani inaelekea wameishaingia nchini!!
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu na sisi tuwe macho SANA na jamaa hawa, hivi alikuwa amekuja kutembelae TANZANIA au alikua on transit kwenda nchi nyingine? Tuwashukuru sana Watanzania wenye jukumu la usalama wa nchi yetu, inaelekea walipata information mapema kuhusu ujuio wake na profile yake. Kusema kweli nawapa HEKO sana.
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tanzania alikuja kama kimbilio aada ya kuona picha zake zimeenea Kenya yote. Siku za amani zimekwisha Tanzania kuanzia pale walipolipua ubalozi wa Marekani. Na mimi ninawapongeza askari wetu. Wananchi tuwe macho na chochote tunachotilia shaka, iwe mabegi yanayotupwa ovyo ovyo (linaweza kuwa bomu) au wageni, hasa pale Kariakoo ambapo Wasomali wamejazana. Hawa al-KAIDA wanaweza kujipenyeza na kujichanganya na watu.
   
 7. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu unacho sema ni sahihi kabisa, ni muhimu sana kuelewa tactics za watu kama hawa, vile vile ikumbukwe kwamba ni watu wenye akili timamu siyo sociopathic, wako tofauta kabisa na vibaka/wezi ambao huwa wanafanya uarifu karibu na nyumbani (eneo walio zoea). Mara nyingi terrorists huchukua muda wa kutosha kutayarisha mashambulizi hawakurupuki, huchunguza maeneo ya kushambulia kwa umakini sana, wanatafuta mbinu za kuwa na urafiki wa kulazimisha na wenyeji, watafanya lolote kuwa-accepted hili wapate taharifa za muhimu - kwa hilo Watanzania tuko makini nalo sana, vita vya ukombozi vilisaidia kutuelimisha, kunaweza kutokea slip up hapa na pale lakini umoja wetu unatusadia SANA.

  Labda nikumbushe kwamba, mtu na akili zake timamu hawezi kuamua kijilipua kwa kutaka kuwafanya raia wasio na hatia waishi kwa hofu, wanao fanya vitendo vya kikatili kama hivyo wanakua na sababu za msingi ambazo zinawafanya wawe na chuki/resentment ya kutaka kulipiza kisasi kwa njia yoyote ile ili DUNIA ijaribu ku-address matatizo yao bila ya kujali kama yapo kweli au la; si rahisi watu hawa kufanya vitendo vya terrorism kwenye nchi ambazo hazina matatizo nao.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wapo sana tu..... wanasubiri tuseme su!!
   
Loading...