Zawadi kwa mpenzi...

Safi sana mkuu[emoji122][emoji122]vp unatumiaga soda?
 
Gongaa mezaaa Konki Konkii Konkiiiii
 

Wazo lako zuri vip kama hana kifaa cha kusikilizia itakuaje
 
5000 nyingi kwa anaekupenda
Mimi nilinunuaga mayai ma 4...nkachemsha vema
Alipokuja nkampa na maziwa...kikombe kimoja
#ananipendaga
 
Nasoma tena
 
5000 nyingi kwa anaekupenda
Mimi nilinunuaga mayai ma 4...nkachemsha vema
Alipokuja nkampa na maziwa...kikombe kimoja
#ananipendaga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani umenifurahisha kweli kweli na hiyo ni true kama anakupenda utainjoy maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…