Zawadi kutoka kwa x

Jonash

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
164
Reaction score
37
Habari wa MMU,gf wangu kanipia cm kua eti kakutana na my x na kumpatia zawadi aniletee..lkn anataka kufuingua aiangalie..je nimruhusu?na huyu gf wang wa sasa ana wivu sana..Ushauri pl
 
Ngoja akutane na cheti cha angaza (Tested Positive) cha ex wako pamoja na Paketi za Arv ndiyo akome kiherehere chake.....
 
daah, hii jf ya siku hizi...bado kidogo tutaanxa kupost umepiga chafua mara ngapi usiku...
 
we muache na kiherehere chake mruhusu afungue ila maswal no..
 
Hili nalo linahitaji ushauri???
Vijana wa siku hizi vichwa vyenu mmeviacha wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hili nalo linahitaji ushauri???
Vijana wa siku hizi vichwa vyenu mmeviacha wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaaani balaa licha ya kuomba ushauri hilo siyo hata la kuumiza kichwa,yaani hii mitandao imefanya watu wawe wavivu kufikirisha ubongo katika kutatua matatizo yao
 
Kaka, hivi bei ya trooper nusu kg ni sh ngapi siku hizi? Nataka kuja kujirusha ila inabidi nitengeneze bajeti kabisa
daah, hii jf ya siku hizi...bado kidogo tutaanxa kupost umepiga chafua mara ngapi usiku...
 
Watu washaanza kupiga kura kule chalinze
UKAWA nao wameingiliwa
Prof Shivji sijui nini kimempata
Ni vurugu tu njiii hii...
Chukua chako mapema
 
Habari wa MMU,gf wangu kanipia cm kua eti kakutana na my x na kumpatia zawadi aniletee..lkn anataka kufuingua aiangalie..je nimruhusu?na huyu gf wang wa sasa ana wivu sana..Ushauri pl
Umruhusu usimruhusu huyo tayari yuko mbioni kukutema! Kama x kakuletea zawadi maana yake bado mnashibana! bai bai kenda na sikutayoooo!
 
Watu washaanza kupiga kura kule chalinze
UKAWA nao wameingiliwa
Prof Shivji sijui nini kimempata
Ni vurugu tu njiii hii...
Chukua chako mapema

we acha tu. Hati ya muungano haijuilikani nani anayo.
 
daah, hii jf ya siku hizi...bado kidogo tutaanxa kupost umepiga chafua mara ngapi usiku...

yaani mkuu uko sahihi,siku hizi ni usenge mtupu,sasa huyu shoga anatuambia kuhusu zawadi inatuhusu nini?
 
Mkuu acha ushamba na ushoga tuma thread yenye maana toa hizo bangi za makalioni.kwan ni nani huwa hatumiwi zawadi.toa ujingu pusi wewe.
 
na mimi ni x bf wa demu wako ni pm nikupe zawadi stupid
 
member wa humu muache DHARAU m2 anataka ushauri mnamkashfu acheni zenu bwanah,mingne ni mijitu mizima..midevu hadi mashavuni lakini mmekalia MAJUNGU TU..ACHENI ZENU BWANA.
 
member wa humu muache DHARAU m2 anataka ushauri mnamkashfu acheni zenu bwanah,mingne ni mijitu mizima..midevu hadi mashavuni lakini mmekalia MAJUNGU TU..ACHENI ZENU BWANA.

akili ya kuambia plus yako msalimie wakwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…