Zawadi gani tutampatia JK?

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
habari za weekendi.
sasa naona muda unayoyma kwa Jk,sijui kama 2010 atakanyaga tena ile nyumba ya zamani kule magogoni.kwa hiyo wana JF,kama ilivyo desturi yeu,tuna takiwa kumpa zawadi za kuinua mgongo marais wetu,ili wakishaondoka ikulu,hizo zawadi zitawasaidiakwenye maisha yao ya uzeeni,kwa hiyo,JK tutampaa nini?nakumbuka mkapa alipewa kadhahabu,ka sime,ka mkuki,ngombe na km.sis wana JF tutamwandalia nini?anzeni kumega mifuko yenu sasa.wakati ndio huu...
 
habari za weekendi.
sasa naona muda unayoyma kwa Jk,sijui kama 2010 atakanyaga tena ile nyumba ya zamani kule magogoni.kwa hiyo wana JF,kama ilivyo desturi yeu,tuna takiwa kumpa zawadi za kuinua mgongo marais wetu,ili wakishaondoka ikulu,hizo zawadi zitawasaidiakwenye maisha yao ya uzeeni,kwa hiyo,JK tutampaa nini?nakumbuka mkapa alipewa kadhahabu,ka sime,ka mkuki,ngombe na km.sis wana JF tutamwandalia nini?anzeni kumega mifuko yenu sasa.wakati ndio huu...
umesahau kidogo mwandishi...............MKAPA ALIPEWA PIA ZAWADI YA MGODI WA KIWIRA
 
kikwete tumpe zawadi ya kagoda kwani ndiyo iliyomuweka madarakani....................tumpe pia richmond maana ndiyo aliyoanza nayo katika harakati za kuchota ukiwa ikulu kujichotea mamilioni........asingehusika akina hosea,lowasa,rostam,na yule mwasheria mkuu wasingekuwa kiburi kiasi hiki
 
Nakumbuka kule jeshini tulikuwa tunaita Serengeti, Basi tumjengee kaserengeti kake kule chalinze
 
Sijui maaana sisi ikiwa desturi yetu kwa watawala wetu kwa ujumla na pia tunasahau mambo yetu ya msingi kama Taifa na kuona au kubaki tukibika siasa katika taifa hili
 
Kama kweli ikitokea akashindwa kurudi madarakani zawadi ya kumpa ni kumtandika bakora kumi na mbili na kumsweka Lupango miaka mitano kwa kosa la kushindwa kulinda raslimali za taifa na kushindwa kuboresha maisha ya Watanzania wenzake na vilevile kufanya urafiki na mafisadi ambao wanainyonya nchi kama kupe.
 
kusema ukweli sijaona awamu mbovu na isiyokuwa na maslah kamaya jk mimi nitampa zawadi ya kwenda gwantanamo bay kwa miaka 10
 
he..............kumbe rais hapendwi kiasi hicho?mbona makamba anakwambia redet wameusifu sana uongozi wa jk

Hata gunia la chawa ni kumpendelea, anatakiwa apewe godoro la mbigiri na alilalie to the rest of his days.

Kiongozi, nimeshawahi kujihusisha na tafiti kadhaa and I can tell you nyingi zake zina malengo tu kupata per diem,no substance, trust me.
 
Tumsifie kwa Taasisi za serikali kama DPP na TAKUKURU, na chama chake na viongozi wote kwa ujumla kugombana hadharani kwenye vyombo vya habari, kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu historia ya nchi hii.
 
Tumjengee kule mji mwema Kigambooni akae huko kama Mzee Jumbe. Anafaa kuwekwa kizuizini kwa uhaini huu mkubwa aliofanyia taifa hili kwa kuwanyima Watanzania haki ya kuwa na (Rais)/ mtawala kwa miaka hii mitano. Tunahitaji rais na si sanamu wala bendera.
 
Msiompenda mko 15%, 70 % wanafata upepo, na 15 % hawa wanamfagilia sana! (Kikwete, 2009).
 
Kama mnasema Mkapa mlimpa Kiwira basi Jakaya mpeni IPTL kwani yeye ndio aliipigia debe mpaka ikawa!!!
 
Msiompenda mko 15%, 70 % wanafata upepo, na 15 % hawa wanamfagilia sana! (Kikwete, 2009).
Masanilo hata hao wanaojidai wanampenda ni ule msemo kua ukila na kipofu....................."
Nasikia bwana mkubwa ni mzee wa kupenda maujiko ile mbaya, hawa kina Makongoro Mahanga, Makamba hawafanyi hayo kwakumpenda saana , hapa ni style ya kumweleza yale anayopenda kusikia ili wapata ugali wao wakila siku....
Kifupi kama ikitokea akaanguka madarakani Tutachukua yale mahekalu kule CHALINZE maana hana kipato cha kujenga majumba kama yale..atoe vyanzo vya mapato.
 
Mie nafikiria kumwendea kwa babu Sumbawanga au Turiani-Morogoro na sio Bagamoyo maana huko ana ulinzi! Ntamuomba ampe mshipa ili asiweze vaa suruali na kuzurura ovyo abaki palepale Ikulu wawe wanamtembelea palepale! Na ushuke huo ujaze kikapu!
 
Back
Top Bottom