Zawadi gani nikimpa hatonisahau?

Kipindi nipo mvulana nilikua na mawazo ya hivi" uvulana una tabu sana
 
Wakuu nina rafiki yangu wa kike ambae namkubari sana but hatuna mahusiano yakimapenzi (japo some time nakuwa na hisia nae but najizuwia mana ukiendekeza mihemko ya kimwili waweza mtongoza hadi mama yako) so leo kutokana na dharura za kikazi hatukuweza kusherehekea IDDI pamoja. Kanilaumu sana why sijamualika pilau wakati j pili anasafiri ko Nataka aende bila kula pilau? nikamwambia usjali ntakufanyia special surprise kesho hutojutia kukosa pilau la leo.

So Wajumbe naombeni ushauri nimnunulie nini ambacho hata uko aendeko hatokuja kunisahau??

Zawadi / kitu hicho kiwe na sifa zifuatazo.

1: Kiwe cha gharama nafuu.
2: kinachoweza mpa furaha.
3: kitakachomfanya ajue kweli nampenda.
4: ambacho kitamfanya a enjoy kuwa rafiki yangu.
5: ambacho kitaacha alama katika akili yake hata siku tukija gombana awe akikumbuka ananimiss.
Mtafutie zawadi ya jogoo kama yule wa Somanga mpe suprise.
 
Mfire
 
Back
Top Bottom