IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,827
- 7,368
Weka namba zake za sim pm mkuu alafu kesho uje kujisifu hapa.
Sita Kwa Sita unajiweza
Nyie Ndio huwa mnajinyonga
Nijinyonge kwa lipi
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
Una maana gani mkuu
Hata utoe nyumba kama hujiwezi kitandani unakimbiza upepo,alafu huo ushamba mbwembwe na sifa za kijinga,angekua mke tungesema yeess umefanikiwa kutunza ndoa na mapenzi yako juu,girl friend?hahaaa labda wangekua na plate number ingesema niwako unalipia TRA
Kibamia kitamsaidi nini?