Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
Fact 💯✅Alikua anautafuta umaarufu kwa nguvu zote kaupata...
Na sasa analipa gharama za umaarufu
Anaishi kwa maneno ya watu sio moyo wake.
Kadate mtu maarufu akifungua simu tu anamuona kila siku..lazima aweweseke.
Watu wakisema kafulia anahangaika kufanya manunuzi ya gharama na kuonyesha mitandaoni,wakisema kazeeka anahangaika kuonyesha mwili wake akiwa nusu uchi...
Wakisema oh huolewi tena ndo hivo anahangaika kukioa kiben ten chake awanyamazishe watu.
Ameelemewa na kelele za watu mtandaoni..zinampelekesha
Angeweza kuzihimili angeishi maisha yake bila kuweweseka!