Zari punguza "kimuhemuhe"

Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Alikua anautafuta umaarufu kwa nguvu zote kaupata...
Na sasa analipa gharama za umaarufu
Anaishi kwa maneno ya watu sio moyo wake.
Kadate mtu maarufu akifungua simu tu anamuona kila siku..lazima aweweseke.
Watu wakisema kafulia anahangaika kufanya manunuzi ya gharama na kuonyesha mitandaoni,wakisema kazeeka anahangaika kuonyesha mwili wake akiwa nusu uchi...
Wakisema oh huolewi tena ndo hivo anahangaika kukioa kiben ten chake awanyamazishe watu.
Ameelemewa na kelele za watu mtandaoni..zinampelekesha
Angeweza kuzihimili angeishi maisha yake bila kuweweseka!
Fact 💯✅
 

Perimeter

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,149
2,000
Nawaza hivo hivo, nna pesa nna team ya watoto naolewa kugundua nini sijui
akiolewa atazalishwa Tena..shenz kabisa Huyu mama Ni head master huko LEBA maana kashakua mwenyeji mpk sasa inabidi wampe Cheo tu,,wakunga hawapati shda kabisa zari akiwa anajifungua.

Akiingia zari wakunga wote wako na smart wanaperuzi zao....mwenye leba yake anafanya yake mwanzo mwisho.

Zari Jimama lenye tabia za under 18
 

binti kiziwi

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
4,367
2,000
I never saw Zari akiumia kulea watoto mwenyewe kipindi yupo apart na Ivan, but i see Zari anaumia sana kulea watoto mwenyewe bila DP, this tells me kwamba Zari alimchukulia DP kama destiny wakati DP hata mpango hakuwa nao.. Zari hakuona kitu kilichopo mbele yake, alijitoa yeye na kila kitu chake kwa ajili ya mahusiano yake na DP. Muacheni awehuke siku akipona wehu atatulia alee wanae , at least hakuzaa na makapuku forum teh.

At her age she looks cute, ana watoto, vijisent na viji-investment unashangaa anahangaika nini? Utagundua ni aina ya wale wanawake ambao hawawezi kuishi bila kuona m.b.o.o ndani tena anaonekana anazipenda zile strong strong maana angekuwa mwingine angedate zake mtu mzima mwenzie huko, atampata wapi mtu mzima wakumpandisha uhuru peak heheh? let us not judge her, she is what she is... ila kama anafanya lolote kumkomoa DP hajui tu kuwa our very own ni version nyingine ya devil!.

Huyu mwanamama ukiamua kumpenda mpende tu ila tabia fulani fulani ngumu sana!
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
49,649
2,000
akiolewa atazalishwa Tena..shenz kabisa Huyu mama Ni head master huko LEBA maana kashakua mwenyeji mpk sasa inabidi wampe Cheo tu,,wakunga hawapati shda kabisa zari akiwa anajifungua.

Akiingia zari wakunga wote wako na smart wanaperuzi zao....mwenye leba yake anafanya yake mwanzo mwisho.

Zari Jimama lenye tabia za under 18
Acha azaeee kizazi anacho
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,658
2,000
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma limeandikwa Mrs Dee mara kikatokea kibinti kikapewa mimba na jina la Dee kikampa mtoto, Boss Lady ukabakiziwa Joho tu, haya ushampata mpya tayari ushaanza mbwembwe za Mrs kwanini usitulie hadi mambo yakae sawa, sidhani kama kuna mwanaume anaependa hiyo tabia asee nnavojua ukijionesha una kiu iliyopitiliza hukawii kuachwa kwenye mataa, labda kwakua we bosslady ila sie kina mwajuma ndala ndefu wataishia kutimka mbio tu.

Kama ulivofanya mchumba awe siri, hebu hiyo ndoa inyamazie kwanza hata uwe engaged unajionesha kuitaka sana ni kama vile unataka ndoa ili ukomeshe watu, itakushinda kuihudumia bureeee kisa unataka ukomesheee.... Tulia bwana kwa diamond ulitangaza 2018 it gonna be million dollars typa shit, jini mkata kamba akapita kabla hata hujavalishwa pete View attachment 1129943
Haya nadhani ndio maisha ya kisasa,inawezekana labda sisi wengine ndio tuko nyuma,tunabakia kumshangaa,ila miaka michache ijayo haya inaonekana yatakuwa ndio maisha ya binadamu wengi,kwani kila mtu nowadays amekuwa akipost kila tukio katika maisha yake ya kila siku kwenye mitandao ya kijamii na hasa Instagram...
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,644
2,000
Zamani nilikuwa nafikiri huyu dada ana akili...kumbe sifuri tupu.......hakuna mwanaume anapenda kuoa mwanamke amezaa watoto watano......labda awe mzee..sio kijana....mtaniambia tumo humu.....
ukiona mwanaume kaoa mwanamke mwenye mtoto kuna sababu kadhaa:
1.na yeye ana mtoto/watoto
2.Baba mtu mzima(umri umeenda)
3.Alishawahi kuoa before ndoa ikamshinda au mke wake alifariki
4.Kama ni Kijana basi anapenda kulelewa

But kwa wanaume ambao hawana sifa hizo hapo juu hakuna anayependa kuoa mwanamke aliyekwisha zalishwa.
 

Hannah

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,837
2,000
Zari anaugua matatizo ya akili kwa sasa yanaitwa BIPOLAR DISORDER
Mwanamke mwenye uwezo mzuri wa kufikiri,hawezi kushinikiza ndoa ili tu kumjambisha ex wake ambae hata shetani hafui dafu
Ndiyo njia pekee ya kumwonyesha kwamba, ukisema cha kazi gani mwenzio anasema atakipata lini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom