Zari punguza "kimuhemuhe"

Hahaaa role modo wema!hapana but nampenda tu km kumpenda!!Wema
Sisemi km Zari hana mazuri yake yapo pia ktk hii dunia hakuna mbaya wa moja kwa moja!!so yapo mazuri maana hata Zari humu tumempigania sanaa tu na tushatukanwa sana na team wema kwa Mange na Sintah Mimi na Mama Sabrina
We mbona wema alikua role modo ako sijui hadi sahivi bado
Wanaoona ni role modo wao let them be kwa zari kuna ya kujifunza mengi tu mapungufu kila mtu anayo, mi namkubali sana yale maisha hakuna asoyatamani hata wewe nnauhakika teh
 
akiolewa atazalishwa Tena..shenz kabisa Huyu mama Ni head master huko LEBA maana kashakua mwenyeji mpk sasa inabidi wampe Cheo tu,,wakunga hawapati shda kabisa zari akiwa anajifungua.

Akiingia zari wakunga wote wako na smart wanaperuzi zao....mwenye leba yake anafanya yake mwanzo mwisho.

Zari Jimama lenye tabia za under 18
Hahahaaaa....jamani kaahh
 
I never saw Zari akiumia kulea watoto mwenyewe kipindi yupo apart na Ivan, but i see Zari anaumia sana kulea watoto mwenyewe bila DP, this tells me kwamba Zari alimchukulia DP kama destiny wakati DP hata mpango hakuwa nao.. Zari hakuona kitu kilichopo mbele yake, alijitoa yeye na kila kitu chake kwa ajili ya mahusiano yake na DP. Muacheni awehuke siku akipona wehu atatulia alee wanae , at least hakuzaa na makapuku forum teh.

At her age she looks cute, ana watoto, vijisent na viji-investment unashangaa anahangaika nini? Utagundua ni aina ya wale wanawake ambao hawawezi kuishi bila kuona m.b.o.o ndani tena anaonekana anazipenda zile strong strong maana angekuwa mwingine angedate zake mtu mzima mwenzie huko, atampata wapi mtu mzima wakumpandisha uhuru peak heheh? let us not judge her, she is what she is... ila kama anafanya lolote kumkomoa DP hajui tu kuwa our very own ni version nyingine ya devil!.

Huyu mwanamama ukiamua kumpenda mpende tu ila tabia fulani fulani ngumu sana!
Ahsante luv!!!!!
 
Kinawauma nini anachofanya bibi kizee wa watu?? Tanzania bhana kila Mtu ni investigator kwani mpo kwenye moyo wake mpaka mjue kuwa haja move on???! Kweli nmeamini mbongo mpe picha tu story anatunga mwanzo mwisho
 
Hater sana ww
akiolewa atazalishwa Tena..shenz kabisa Huyu mama Ni head master huko LEBA maana kashakua mwenyeji mpk sasa inabidi wampe Cheo tu,,wakunga hawapati shda kabisa zari akiwa anajifungua.

Akiingia zari wakunga wote wako na smart wanaperuzi zao....mwenye leba yake anafanya yake mwanzo mwisho.

Zari Jimama lenye tabia za under 18
 
Sinaga tabia ya kujadili watu. But this woman is broken inside .Maana anatumia nguvu nyingi kuprove kwamba yupo sawa. Hizi ni tabia za mtu ambaye anapitia magumu sana.
 
Yani unapanua upaja ili kumkomoa DP?Wanawake mnafeli sana eti unaamua kuliwa hovyo ili EX wako aumie ha ha ha ha ha
 
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma limeandikwa Mrs Dee mara kikatokea kibinti kikapewa mimba na jina la Dee kikampa mtoto, Boss Lady ukabakiziwa Joho tu, haya ushampata mpya tayari ushaanza mbwembwe za Mrs kwanini usitulie hadi mambo yakae sawa, sidhani kama kuna mwanaume anaependa hiyo tabia asee nnavojua ukijionesha una kiu iliyopitiliza hukawii kuachwa kwenye mataa, labda kwakua we bosslady ila sie kina mwajuma ndala ndefu wataishia kutimka mbio tu.

Kama ulivofanya mchumba awe siri, hebu hiyo ndoa inyamazie kwanza hata uwe engaged unajionesha kuitaka sana ni kama vile unataka ndoa ili ukomeshe watu, itakushinda kuihudumia bureeee kisa unataka ukomesheee.... Tulia bwana kwa diamond ulitangaza 2018 it gonna be million dollars typa shit, jini mkata kamba akapita kabla hata hujavalishwa pete View attachment 1129943
Hivi mlitarajia Dai atamuoa yule? Dai alilengesha tu kuzaa na tajiri kitu ambacho hata mimi naweza kufanya. Dai vimwana vyote hivi age 20s akaoe lile mama? Thubutu.....labda kama hajakulia Tandale.
 
Back
Top Bottom