Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,267
Watoto ni baraka na uzuri anawamudu, mimi natamani ningekuwa nao 6 ila life la sasa hivi huh!Nampendaga tu jinsi alivyo na watoto wengi
Pengine wazo lako linaweza kukukosesha mfanyabiashara au mwanamichezo mkubwa atakayekusaidia baadae Kiuhalisia sisi watanzania tumejikuta tumezaliwa kwenye hali tata😆Watoto ni baraka na uzuri anawamudu, mimi natamani ningekuwa nao 6 ila life la sasa hivi huh!
Life style zetu zimebadilika mno na hatuweki tena mawazo ya kusaidiwa na watoto,tunainvest kwao na kwa ajili ya future yao ndio maana wengine tunakuwa na kiasi, wazazi wa zamani walikuwa wanazaa mpaka watoto 10 bila wasiwasi na maisha yanasongaPengine wazo lako linaweza kukukosesha mfanyabiashara au mwanamichezo mkubwa atakayekusaidia baadae Kiuhalisia sisi watanzania tumejikuta tumezaliwa kwenye hali tata😆
Wazungu navutiwa sana nao kutokana na maumbile yaoIla takoless, asitusumbue. Hana hata tako kabisa, tuweke ukweli, mwanamke bila tako hana hamasa kabisa, wazungu wengi hawavutii sbb hawana tako. Mkinuna, nuneni, ukweli mchungu huu.
Nampendaga tu jinsi alivyo na watoto wengi
Hongera sanaNapambana nimeshamfikia sasa natamani twins tena wafike saba
Wapenda watoto tujuane😃😃😃😃
Ni ajabu sana kuona demu star na mzuri anakuwa na watoto weng hvyoNampendaga tu jinsi alivyo na watoto wengi
Hongera sana
Analo mbonaIla takoless, asitusumbue. Hana hata tako kabisa, tuweke ukweli, mwanamke bila tako hana hamasa kabisa, wazungu wengi hawavutii sbb hawana tako. Mkinuna, nuneni, ukweli mchungu huu.
Watoto ni baraka na uzuri anawamudu, mimi natamani ningekuwa nao 6 ila life la sasa hivi huh!
Hongera sana mama DNapambana nimeshamfikia sasa natamani twins tena wafike saba
Wapenda watoto tujuane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hongera sana mama D
Mimi napenda sana watoto wengi,Mungu anijalie uhai,nikamilishe mipango yangu nitawachukua watoto hata 10 yatima na waliotelekezwa niwalee mpaka watakapojitegemea,wa kuzaa mwenyewe nitadanganya!!
Watoto ni baraka na uzuri anawamudu, mimi natamani ningekuwa nao 6 ila life la sasa hivi huh!
Napambana nimeshamfikia sasa natamani twins tena wafike saba
Wapenda watoto tujuane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Amina mama D nilishaanza mchakato ameniponyoka last week first trimester, namshukuru Mungu kwa yote. Nimekupenda ghafla, barikiwa sana na familia yako.Mungu akuongeze uwezo wa kuwalea na akutangulie uongeze wafike 6
Usisahau kutujulisha tuje na diapers na maziwa💧🍼