OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Unaweza ukatoa ufafanuzi kidogo juu ya gharama hizi? Je, inawezekana kulima zo hili kwa kutumia vitalu, yaani green houses?Gharama za kulima vanila zipo juu mno. Achana nalo litakufilisi.
Gharama za kulima vanila zipo juu mno. Achana nalo litakufilisi.
Mhhm!!!,Wanaolima,wamewezaje??.Gharama za kulima vanila zipo juu mno. Achana nalo litakufilisi.
Mkuu una uhakika kweli au ndo Akilindogosana !?Gharama za kulima vanila zipo juu mno. Achana nalo litakufilisi.
Mkuu kwa heka moja huwa inachukua muda gani hadi uvune? Na bei yake inakuwaje?Unaweza ukatoa ufafanuzi kidogo juu ya gharama hizi? Je, inawezekana kulima zo hili kwa kutumia vitalu, yaani green houses?
Kumbe bongo bei bado ipo chini? Na hizo bei za usd 500 hazina uhalisia wowote? Na nikitaka kununua kwa huko bukoba unaweka juani tu zinakauka na solo lake la nje unauzaje? Kwa mfano kule iringa wanadai kuwa huchukua hadi miezi mitatu kuvunwa ..hiyo ni kulingana na nilivyosikia kwenye radio.Zao la Vanilla halina gharama kwenye ulimaji kama wadau wanavosema hapo juu, gharama yake ni kwenye kuchukua muda mrefu mpaka kuvuna mwaka hadi miaka miwili kutegemeana na rando.
Vile vile kuna uzushi, sijui ni rumors za wale jamaa wa ITV wanajitangaza kuwa vanilla Kilo moja ni Shilingi milioni moja kitu ambacho sio kweli. Vanilla ina bei lakini hata soko la nje haijafika milioni moja, Madagascar ambao ndiyo soko kubwa vanilla kavu isiyo mbichi kule saivi ni dola 150$ au 180$ kwa kilo moja.
Vanilla huuzwa kwa grade na hapa bongo bei ya Vanilla iko chini sana Vanila inayouzwa hapa bongo wengi wanauza mbichi ambapo kwa bukoba vanila mbichi kilo moja ni Shilingi elfu 30.
Wanunuzi wengi wananunua mbichi.
Mkuu hii bei sidhan kama no kweli kulingana na mdau hapo juuKilogram Moja Tshs Million 1
Mkuu hebu pakua hiyo Doc ingawa ni ya muda lakini ina reflect uhalisia wa jambo hili.Kilogram Moja Tshs Million 1
Ngoja leo nikujibu, kwenye jukwaa la Arsenal uwa na ku-ignore. Unaweza kupanda na ukavuna ndani ya mwaka mmoja, inategemea na urefu wa lando unalopanda, kiwango cha moisture, kivuli na mbolea. Ingawaje mwaka wa kwanza mavuno yatakuwa kidogo. Kama limelishwa na kupata matunzo mazuri eg shadding, baada ya miaka 3 mche mmoja unaweza kukupa mpaka kilo 8. kwa bei sasa unaweza pata 20,000- 30,000x8 shilingi kwa kila mche. Mimi sasa hivi nipo shambani naoanisha maua.Kumbe bongo bei bado ipo chini? Na hizo bei za usd 500 hazina uhalisia wowote? Na nikitaka kununua kwa huko bukoba unaweka juani tu zinakauka na solo lake la nje unauzaje? Kwa mfano kule iringa wanadai kuwa huchukua hadi miezi mitatu kuvunwa ..hiyo ni kulingana na nilivyosikia kwenye radio.
Hahahaha sawa sawa mkuu ..dah ebwana wee hongera sana mkuu shamba lako liko wapi mkuu napenda kuja kutembelea huko nione namna unavyofanya mkuu? Maana natamani sana kulima hili zao natumaini utakuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kulima hili zao mkuu.Ngoja leo nikujibu, kwenye jukwaa la Arsenal uwa na ku-ignore. Unaweza kupanda na ukavuna ndani ya mwaka mmoja, inategemea na urefu wa lando unalopanda, kiwango cha moisture, kivuli na mbolea. Ingawaje mwaka wa kwanza mavuno yatakuwa kidogo. Kama limelishwa na kupata matunzo mazuri eg shadding, baada ya miaka 3 mche mmoja unaweza kukupa mpaka kilo 8. kwa bei sasa unaweza pata 20,000- 30,000x8 shilingi kwa kila mche. Mimi sasa hivi nipo shambani naoanisha maua.
Kaka zile ni hadithi tu za wale jamaa wa njombe kwanza amna vanilla inayokomaa kwa muda wa miezi mitatu isipokuwa vanila huanza kuchavushwa maua kuanzia mwezi wa sita toka kupandwa na pollination yake ni mkono amna wadudu wala upepo ni wewe unahamisha mbegu kwa maua yaani ni hand pollination.Kumbe bongo bei bado ipo chini? Na hizo bei za usd 500 hazina uhalisia wowote? Na nikitaka kununua kwa huko bukoba unaweka juani tu zinakauka na solo lake la nje unauzaje? Kwa mfano kule iringa wanadai kuwa huchukua hadi miezi mitatu kuvunwa ..hiyo ni kulingana na nilivyosikia kwenye radio.
Karibu, nitaku-PM kukuelekeza nilipoHahahaha sawa sawa mkuu ..dah ebwana wee hongera sana mkuu shamba lako liko wapi mkuu napenda kuja kutembelea huko nione namna unavyofanya mkuu? Maana natamani sana kulima hili zao natumaini utakuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kulima hili zao mkuu.
BTW hongera sana mkuu..
Sawa rando likiwa kubwa 100m utawahi kuvuna na mmea mmoja hutoa nusu kilo au kilo mwaka wa kwanza na kuongezeka hivo hivo mpaka na mpaka. Wewe upo mkoa gani?Ngoja leo nikujibu, kwenye jukwaa la Arsenal uwa na ku-ignore. Unaweza kupanda na ukavuna ndani ya mwaka mmoja, inategemea na urefu wa lando unalopanda, kiwango cha moisture, kivuli na mbolea. Ingawaje mwaka wa kwanza mavuno yatakuwa kidogo. Kama limelishwa na kupata matunzo mazuri eg shadding, baada ya miaka 3 mche mmoja unaweza kukupa mpaka kilo 8. kwa bei sasa unaweza pata 20,000- 30,000x8 shilingi kwa kila mche. Mimi sasa hivi nipo shambani naoanisha maua.
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu ππππMkuu hii bei sidhan kama no kweli kulingana na mdau hapo juu