Zao la biashara

Zao la biashara

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Mwalim mgeni kwenye shule ya msingi Bwiti maramba mkoani tanga:
mwalimu:leo tunajifunza mazao ya kibiashara hapa nchini.
Wanafunzi:sawa mwaliimu
mwalimu:
swali 1:taja zao la biashara la mkoa wamaish wagogo?
Mwanafunzi:kahawa na kashata.
Swali 2:taja zao la biashara la wakurya mara?
Mwanafunzi:mayai na baiskeli.
Swali 3:taja zao la biashara la mkoa wa pwani (rufiji)?
Mwanafunzi:mabusha na misuli.
Swali 4:taja zao la biashara la wazaramo (dar)?
Mwanafunzi:ngoma na matusi.
Swali:5 taja zao la biashara la wazanzibar?
Mwanafunzi:ndevu na sigida
mwalimu:nimechoka na sitaki tena kufundisha mitoto kama madenge.

Je unajua zao la biashara la kwetu?
 
zao la biashara la wachaga,pesa,mbege na duka
 
katasha na kagawa
 
Zao la biashara la wangoni songea
pombe na wanawake
 
Arumerume zao lao kubwa ni ngope na mashuka mekundu.
 
Hivi zao la biashara la warangi kondoa ni nini vile?
 
khaaa ya ukweli hii mana nimecheka mpaka basiiii
 
Back
Top Bottom