Zanzibar yalipuka ujio wa Dr. Magufuli na Mama Samia

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Maandalizi ya ujio wa dr pombe magufuri umeshika kasi; mabango unguja ni magufuri , vipeperushi vya magufuri na mama samia . Vimetanda mji mzima;

Ukipita masikani .Barabara zina safishwa.


Wananchi wanasema -wanataka kuzilishia umma na waangalizi, kuwa CCM moto wa kuote mbali;


Mazoezi ya mashairi
Nyimbo
Ngonjera
Ngoma za kina mama


yanaendelea
 
Ccm huwa haina shida ya hela ya mabango na bendera. Shida yao ni kupata wahudhuriaji wanaokuja kwa mapenzi yao kabisa, hao hawapo.
 
Mhh kweli tumeshikwa papaya hadi ccm wanashangilia mikutano yao kuwa na watu wengi
 
Bangoz na vipepe ni vingi kuliko wapiga kura ..
ukikusanya vipepe na bangoz nchi nzima pamoja na wasanii gharama yake ingetosha kununua x ray mashine kila wilaya
 
Back
Top Bottom