kikubwa ni muungano kuvunjwa kipindi tukielekea mchakato wa kuunda EAST AFRICAN FEDELETION
kwa sisi wabara tulioa wapemba itakuwaje??...................... Nitakuwa na mke foreigner
hakuna kitu ambacho sikipendi hapa jf kama kuona wazanzibar wakitaka kujitenga! Maneno haya yamenichosha, nilishawahi kushauri wawatumie wabunge wa muungano kupeleka hoja binafsi bungeni, bunge likiridhia bila shaka kutakuwa na kura ya maoni kwa watanzania wote nao wakiridhia muungano huu ujunjike tufikirie mengine. Kupeleka barua un hakusaidii kwa vile un hawakuhusihwa katika kuundwa kwa muungano huu, issue hii ni ya hapa hapa wala hakuna tatizo lolote, ni dhahiri watanzania watafanya maamuzi magumu kwa maslahi yetu sote.
tahadhari: mwalimu alisema 'endapo wazanzibar wataamua kuwaacha watanganyika, watanganyika watabaki salama lakini wazanzibar hawatabaki salama, tutasikia wapemba na waunguja na baada ya hapo wataendelea kubaguana kwa vigezo vingine kwa vile dhambi waliyoifanya ni kubwa na mbaya mno'.
MBONA MNAKASIRIKA SANA UNAOVUNJIKA NI MUUNGANO WA SERIKALI NA SIO MUUNGANO WA WATU ????
MBONA WATANGANYIKA WAPO ZANZIBARI na wazanzibari wapo Tanganyika hata kabla KABLA MUUNGANO ????
Let them go.Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya muungano tangu zamani, mtakumbuka kuwa ilishaelezwa kwamba watakaouvunja muungano huu ni wazanzibar wenyewe kutokana na ulevi tu wa viongozi wao.
Me nadhani wapewe nchi yao kwani hakuna tunachofaidika nacho kutoka kwao.
Kweli nendeni hata mkiungana na Muscat kwa babu zenu hakuna shida. Tuachie Nyerere wetu!! Hatuwahitaji stupid!!wewe mbona unampenda sana huyu nyerere kiumbe mfitinishaji aliyetutia umasikini wa kuendelea kwa siasa zake za kubahatisha ????
hakuna anayekasirika gavana nyie wazanzibar ndo mtaumia muungano ukivunjwa,waznz wanadanganywa na magaidi kwamba wakijitenga watapata misaada ni ulevi tu wa madaraka na mali hakuna lolote,nyie jitengeni tu tutawafukuza wote huku bara na mali na nyumba zote tunachukua
Kweli nendeni hata mkiungana na Muscat kwa babu zenu hakuna shida. Tuachie Nyerere wetu!! Hatuwahitaji stupid!!
Hebu waambieni waache tamaa na upuuzi. Mnaowabeza wazanzibari kuwa wakijitenga watahamia bara mnajua kuwa ukanda wa pwani wa Tanzania na Kenya hadi Msumbiji ni eneo la zanzibar? Kenya wana mgogoro na wakenya waliopo ukanda wa pwana wanataka kujitenga na kurudi Zanzibar. Tanzania hakuna evidence kuwa eneo waliloazimwa wajerumani na sultani wamelinunua kihalali (10 Kilometer wide coastal strip from Tanga - Mozambique). Je wazanzibar wakiamua kudai eneo lao mtalitoa? Kuweni Great Thinker ni kuwaomba waache mpango wao kwani sasa hakuna mzanzibari tumechanganyika mno baina ya sisi watanganyika na wazanzibari .
Taratiibu jamani,
Ambao hawataki muungano no nani haswaa? Wapemba au Waunguja?, swala hili sio rahisi kama wengi wanavyodhani. Yasije yakatokea kama yale ya visiwa vya Comoro na kisa cha Anjouani...
Sasa ndoa ikifa tutagawana tulichochuma pamoja?