Sasa wewe unawaonaje Wazanzibar? IQ yao ndogo mno!Ndio ujue hii ni biashara na hao Saudia wapo mikononi mwa mabeberu wanaondesha vita ya kibiashara dhidi ya China na Russia. Hivi huko Zenji wanatumia akili za kuazima au ni zao walizobarikiwa na Mola?