Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,105
- 15,586
Yaani mambo hayaeleweki kabisa. Na hawa viongozi ndio hewa kabisa.Hahahaha, huku unapigwa Sinovac iliyopitishwa na WHO, halafu halafu anaibuka mtu aliyechini ya WHO anasema haitambui, choma hizi ndio nazitambua, so issue ni kuzitambua au ni kinga? Kama ni kinga WHO si wamepitisha?! Njaa zinatia watu ukatili wa ajabu