Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

Dishunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
276
Reaction score
58
Ni zaidi ya raha kama hali ndio hii
 
Attachments

  • 1443887682518.jpg
    1443887682518.jpg
    44.9 KB · Views: 2,165
  • 1443887694600.jpg
    1443887694600.jpg
    25 KB · Views: 1,706
  • 1443887707011.jpg
    1443887707011.jpg
    46.8 KB · Views: 1,748
  • 1443887727930.jpg
    1443887727930.jpg
    46.1 KB · Views: 1,643
  • 1443887742581.jpg
    1443887742581.jpg
    45.9 KB · Views: 1,606
  • 1443887755150.jpg
    1443887755150.jpg
    43.3 KB · Views: 1,688
sijui ccm watafanyaje na mtu huyu nafikiri ni kufungasha virago tu
 
Tusibweteke na tuongeze umakini kwa hawa vibaka CCM wasije kutudhuru kwenye masanduku ya kupigia KURA mpaka tushuhudie Maalim Seif kwa Zanzibar na Edward Ngoyai Lowassa wakiapishwa... Tuombe mungu maana hawa wabishi waliokengeuka na madaraka wakidhani ni wao tu ndio wenye uwezo na Kila kitu hapa Tanzania
 
Mama Lowasa anafanya kazi sana kwa kweli.. huyu mama anafaa kabisa
 
Kaburi lipo wapi tuje kujengea marehemu asitoroke?
 
Uwingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni sidhani kama ni kigezo cha ushindi penye wengi kuna mengi
 
Tusibweteke na tuongeze umakini kwa hawa vibaka CCM wasije kutudhuru kwenye masanduku ya kupigia KURA mpaka tushuhudie Maalim Seif kwa Zanzibar na Edward Ngoyai Lowassa wakiapishwa... Tuombe mungu maana hawa wabishi waliokengeuka na madaraka wakidhani ni wao tu ndio wenye uwezo na Kila kitu hapa Tanzania

Kwa tunaojua siasa za upande wa pili wa muungano wala hatuna shaka kwamba ukawa wanakula za uso tena mwaka huu zitakuwa mbaya zidi
 
Hakika hiimikusnyiko inatisha, ni historia ktk Tanzania. Ikishindikana kuchukua nchi mwaka huu ujue hao wa kijani watakuwa na ushindi nje ya sanduku la kura. Yeah nakubaliana na Aljazeera kuwa ni Political Tsunami.
 
Back
Top Bottom