Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

Tatizo kura zanzibar zinapigwa za maruhani sijui kinatokea nini full mazimwi yanaibuka vituo vinachelewa saanaa kufunguliwa vikifunguliwa karatasi hakuna mara magari ya masanduku na kura yanapotea njia utasikia magari kutoka unguja yamekosea njia yametokea pemba mara duhh yaani full zengwe ukija shtuka jionii wapemba kama kawa wanaingia ukimbizini kwa bakora za usiku wanaishi maporini wakirudi kura zeshaa
 
Mtoa mada huo umati usikusumbue na kujipa matumaini kwa Zanzibar hiyo ni kawaida lakini mwisho wa siku maalim seif anakula za uso anatulia kwahiyo hata huku bara ndivyo itakavyokuwa lazima lowasa ale za chembe akae

CCM miaka yote mnaiba kura. Mkibanwa kutokuiba hamna chenu!
 
tusibweteke na tuongeze umakini kwa hawa vibaka ccm wasije kutudhuru kwenye masanduku ya kupigia kura mpaka tushuhudie maalim seif kwa zanzibar na edward ngoyai lowassa wakiapishwa... Tuombe mungu maana hawa wabishi waliokengeuka na madaraka wakidhani ni wao tu ndio wenye uwezo na kila kitu hapa tanzania

ndoto za mchana hizo
 
Mtoa mada huo umati usikusumbue na kujipa matumaini kwa Zanzibar hiyo ni kawaida lakini mwisho wa siku maalim seif anakula za uso anatulia kwahiyo hata huku bara ndivyo itakavyokuwa lazima lowasa ale za chembe akae

Mwaka huu hutaamini kitakachotokea,si mnaishi kwa mazoea?

Mwenyewe unajua kuwa mwaka huu mambo yashaharibika ila unajifànya mbishi.huutaki ukweli.
 
Kwa tunaojua siasa za upande wa pili wa muungano wala hatuna shaka kwamba ukawa wanakula za uso tena mwaka huu zitakuwa mbaya zidi

Mwaka huu ccm wanazaa na tembo weka maneno yangu.
 
Back
Top Bottom