Zanzibar is a state. Safi sana.mmhh una maanisha State University of Zanzibar (SUZA) au Zanzibar University (ZU)?
Acha kumdangany mwenzio wwKitu Pekee Ninachokifahamu Ni Kuwa State University Of Zanzibar (SUZA) Hawana Hostel Kwenye Campus Zao Zote! Kwavile Zanzibar Ni Ndogo Wanafunzi Husoma na Kurudi Majumbani Kwao! Wageni Kutoka Nje Ya Zanzibar Wanakodi Vyumba (Au Nyumba) Kwenye Majumba Yaliyojengwa Maalum Jirani Na Compus Yao Ya Tunguu!
Bali Kwenye Compus Za Mjini (Mkunazini & Bait Al-Rasi) Wanakodi Kwenye Majumba Ya Kawaida.
Na Campus Zao Ni Tatu! Mkunazini, Bait Al-Rasi na Tunguu.
yeah mkuu namaanusha hiko chuommhh una maanisha State University of Zanzibar (SUZA) au Zanzibar University (ZU)?
yaani SUZA but hata ZU sio mbayaZanzibar is a state. Safi sana.
mkuu ada zao zikoje na admission procedures, msaada bossAcha kumdangany mwenzio ww
Hiv ZIFA Campus hakuna hostel, Mbweni ( COHS) campus hakuna hostel??????
Kwa course gan??mkuu ada zao zikoje na admission procedures, msaada boss
IT with educationKwa course gan??
Acha kumdangany mwenzio ww
Hiv ZIFA Campus hakuna hostel, Mbweni ( COHS) campus hakuna hostel??????
Kwanza uelewe kuwa ZIFA ni campus ya SUZA na Mbweni ina hostel za kutosha kwa wanafunz wa Afya sio diploma tu mpk degree AfyaKwanza Hicho ZIFA sio Tunachokizungumzia.
Halafu Hostel zilizopo Mbweni (College of Health) Ni Kidogo tu Kwa Ajili Ya Wanafunzi Wa Diploma Wa Course Za Afya tu na Si Fani Nyengine Yoyote.
Narudia Tena SUZA haina Hostel
Kwanza uelewe kuwa ZIFA ni campus ya SUZA na Mbweni ina hostel za kutosha kwa wanafunz wa Afya sio diploma tu mpk degree Afya
HAHAHAHZanzibar is a state. Safi sana.
nimesoma pale 2010-2013: suza no hostel. Nilipangisha chumba na washkaji. Ada yao ni rahisi . Nenda mwenyewe kwenye ofisi zao onana na kijana mmoja anaitwa bahaka atakusaidiaTunguu