Yule mpemba ni muongo sana, anaongea uongo mbele ya watu wazima.
Anasema guest zipo nyingi!!.
Sisi wengine tushakuwa wenyeji, najua guest bubu nyingi tu na hazipo rasmi zile rasmi zipo pembezoni mwa mji.
Na nyingi ya hizo unakuta mtu alikuwa na familia ambapo watoto wamekuwa wamesepa arabuni au wapo Tanganyika so nyumba imebaki tupu wanaamua kupangisha na bei haizidi 10,000/- per night labda iwe self inazidi kidogo sana.