Zanzibar Nungwi kimewaka

Zanzibar Nungwi kimewaka

Invinsible

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
314
Reaction score
382
Zanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana, tuombee ndugu zetu waliopo huko Nungwi.

===
Raia wamedaiwa kuzuiwa kupiga kura hali inayozua taharuki ya kupelekea ghasia zinazoendelea katika mji huo.

Imedaiwa vyombo vya usalama wanawatoa watu ili wao ndio wapige kura katika vituo.

 
Zanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana, tuombee ndugu zetu waliopo huko Nungwi

===
Raia wamedaiwa kuzuiwa kupiga kura hali inayozua taharuki ya kupelekea ghasia zinazoendelea katika mji huo
Kwa hiyo ilipopigwa adhana ndio kikanuka, weka nyama , taarifa hizi huleta taharuki bila sababu
 
Mtu muongo utamjua tu,
Kila anachokiandika inasemekana inasemekana bila kutaja chanzo cha habari
Unafikiri humu ni facebook
Taarifa umezipata kutoka chanzo kipi cha habari ebu toa maelezo acha kuleta ugolo humu..
 
Kura muda huu??

Mleta mada tuletee maelezo yaliyonyooka.
 
Jamani mbona ameeleza sababu zimeeleweka, muda uliopigwa adhana si muda wake ila ilikuwa ni wito wa dharula tu!
 
Tumtoe madarakani kwa nguvu huyu dikteta na chama chake cha kishetani
 
Back
Top Bottom