Zanzibar ni Non secular state?

Ulilazimishwa ukae Zanzibar, Ule ovyo tu halafu uwachiliwe, huo utakuwa ugonjwa subiri uwepo Sinza, Ubungo.... utakula hadharani, sio Zanzibar.
 
 
 
Kama Tanzania bara inaendeshwa kikristu?
Waendeshi kikristo kwa sheria zipi walizonazo? ishu sio mpaka hadi uendesha nchi tu bali hata nchi kuwa na baadhi ya sheria au tamaduni zilizotokana na athari za dini.
Zazibar hawaendeshi nchi kiislamu bali kuna baadhi ya taratibu zao ni kutokana na athari ya dini yao hivyo hata bara kungekuwa na wakristo wengi kiasi kama cha waislamu huko zanzibar basi pia kungekuwa na taratibu zenye athari za ukristo.
 
Mleta uzi acha chuki na kuropokwa vitu ata usivovielewa.
 
ZMZ NI NCHI
Ukiwa Zanzibar fuata sheria na katiba ya Zanzibar na c vinginevyo
 
Kusema watu wafunge migahawa kipindi cha Ramadhani huko ni kulazimisha watu wafuate misingi ya Dini ya Kiislam, hii sio kwamba sio fair tu kwa Wasio Waislam bali hata kwa Waislam wenyewe, maana sio kila Muislam atataka afunge, kufunga ni hiyari ya mtu

Hebu nitajie nchi za Kikristo zenye kulazimisha watu wafuate matakwa ya Dini ambayo yapo direct kama marufuku ya kufunga Ramadhani, maana za Kiislam naweza kukitajia hata 10
 
Tunashindwa kuelewana kitu kidogo tu kuna tofauti ya nchi ya kiislamu na nchi yenye waislamu wengi,zanzibar sio nchi ya kiislamu bali kuna waislamu wengi na ndiyo na hali hiyo hufanya tararibu zao kuwa na athari na uislamu,hata kama serikali isingepiga marufuku ila kuna biashara nyingi tu za chakula wenyewe wangefunga mchana wa mwezi wa ramadhani hata huku bara mambo hayo yapo ndio itakuwa huko kwenye waislamu wengi?
Hivyo sio hilo tu la ramadhani tu bali kuna mambo mengi sana zanzibar ambayo taratibu utaona zina athari na dini yao na si kwamba wanafanya hayo kwa sababu yao dini imewataka wafanye hivyo bali wenyewe wameamua kufanya hivyo.

Sasa hata kwenye nchi zenye wakristo wengi mambo hayo yapo hata kama huwezi kulinganisha sawa na uislamu.
 
Mkuu haya mambo yana taratibu zake. Wao ni wageni.
 
Zanzibar ni secular country, ila ina utamaduni wake kama ilivyo kwa TANGANYIKA.
 
Kufunga suala la mtu na Mungu wake eti ulazimishwa kufunga hata kama hujui kuhusu Mungu!!
 
Pole kwa saumi mkuru...
 
Dini hizi mbili kuwa sawa kwa takwimu ipi haswaaa ulionayo? Uslam huku bara ni 20 kwa 80 ya ukristo.
 
Watu wake ndio mbute, baba zao waliuzwa utumwani na surubu tupu wao wanauzwa kwa kigezo cha uslam.. Zero kabisa.
Mkuu hili unalijua vyema? Labda nikukumbushe usome historia ya utumwa. Pale zanzibar ilikuwa watumwa wakiuzwa baada ya hao watumwa kuchukuliwa kutoka Bara. Mkuu soma historia ujikumbushe. Hakuna Mzanzibar aliyeuzwa, kwa hivyo baba zao hawakuwahi kuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…