Mp19
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 259
- 726
Habari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa wasimamizi wakuu si polisi tena bali ni wananchi na polisi husaidia tu panapohitajika msaada.
Sheria ya namna ya kula chakula au vinywaji wakati wa Ramadhani huko Zanzibar zinakera na kunyima Uhuru wa watu wengine.
Je, Zanzibar si Tanzania ?
Zanzibar ni non secular ?