Zanzibar ni nchi au Taifa?

Zanzibar ni nchi au Taifa?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION.

TAFSIRI:
COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory.

NATION - a large body of people united by common descent, history, culture or language, inhabiting a particular country or territory.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, hayo maneno yote yametumika. Kwamba ni nchi na ni Taifa.

Kwa mfano, ibara ya 4 ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 inasema, "Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za Kisheria nchini kote..."

Sehemu nyingine inasema, "Rais atakuwa Kamanda Mkuu wa Idara Maalum na atakuwa na uwezo wa kufanya chochote kile anachohisi, kwa maslahi ya Taifa, kinafaa"

Wengine huwa wanasema, ooh, Zanzibar ni mkoa wa Tanganyika, n.k.

Lakini Katiba ya Zanzibar imetamka wazi kuwa Zanzibar ni nchi na ni Taifa.

Kuna Mtanganyika anayeweza kulibisha hilo kwa vigezo vya Kisheria?

Angalizo: Mimi siyo mtaala wa Sheria, kwa hiyo kama kuna nilikokosea nieleweshwe

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Hii kitu ilimliza Pinda alishambuliwa bungeni balaa
 
Nakumbuka!
Mpaka ilimbidi JK aingilie kati ili kuituliza hali ya hewa. Nimejaribu kuitafuta hiyo clip YouTube lakini sijaipata.
 
Zenji ni taifa ni nchi kamili kabisa basi tu wenge la Mwl lilituingiza mkenge na hizi shobo za CCM ndo kabisa Tanganyika naiona kama dem alieolewa bure kwa trick ya kupewa mimba tu na kuogopa kua singo maza.
 
Zanzibar ni nchi iliyovamiwa na Tanganyika kwa kupewa baraka na Muingereza
 
Tanganyika ilitaka kuimeza zanzibar imeshindikana,kuitema haiwezi na kuimeza haiwezi ipo kooni
 
Ni kisiwa chenye watu wenye wivu kimaendeleo ,wanaendekeza mapenzi tu ,ushoga ,usagaji,na mengineyo ,halafu halafu wawapendi watu wa bara
 
Back
Top Bottom