Zanzibar na serikali ya muungano

Zanzibar na serikali ya muungano

mzee lyandi

Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Ni wiki mbaya kwa watanzania wenzetu wanaoishi tanzania visiwani kutokana na vurugu zinazoendelea. Imefika wakati sasa swala hili lichunguzwe kwa umakini je, kuna makundi ya wanaharakati ambayo hayataki muungano, au kuna viongozi wanatumia wanaharakati kuukataa muungani au ni wazanzibar wote hawautaki muungano.

Naomba wanajamii wenzangu mnijulishe nini hasa chanzo cha machafuko huko zanzibar. mungu ibariki tanzania iepuushe na machafuko.
 
ni wiki mbaya kwa watanzania wenzetu wanaoishi tanzania visiwani kutokana na vurugu zinazoendelea. imefika wakati sasa swala hili lichunguzwe kwa umakini je, kuna makundi ya wanaharakati ambayo hayataki muungano, au kuna viongozi wanatumia wanaharakati kuukataa muungani au ni wazanzibar wote hawautaki muungano. naomba wanajamii wenzangu mnijulishe nini hasa chanzo cha machafuko huko zanzibar. mungu ibariki tanzania iepuushe na machafuko.

Nadhani kuna viongozi wanawatumia wanaharakati a.k.a janjaweedy a.k.a Uamsho kuupinga muungano. Endelea kuwaombea hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom