zanzibar na serikali ya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zanzibar na serikali ya muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzee lyandi, May 29, 2012.

 1. m

  mzee lyandi Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni wiki mbaya kwa watanzania wenzetu wanaoishi tanzania visiwani kutokana na vurugu zinazoendelea. imefika wakati sasa swala hili lichunguzwe kwa umakini je, kuna makundi ya wanaharakati ambayo hayataki muungano, au kuna viongozi wanatumia wanaharakati kuukataa muungani au ni wazanzibar wote hawautaki muungano. naomba wanajamii wenzangu mnijulishe nini hasa chanzo cha machafuko huko zanzibar. mungu ibariki tanzania iepuushe na machafuko.
   
 2. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani kuna viongozi wanawatumia wanaharakati a.k.a janjaweedy a.k.a Uamsho kuupinga muungano. Endelea kuwaombea hivyo hivyo.
   
Loading...