dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwakilishi wa Deutsche Welle visiwani Zanzibar, Salma Said (pichani), amekamatwa na watu wanaoaminika kuwa wanatoka vyombo vya usalama kwa sababu ambazo bado DW haijazielewa.
================
Updates:
===============
Amekamatwa Dar es salaam akitokea Zanzibar. msikilize
https://soundcloud.com/m1m2-1/aud-20160318-wa0002-aac
Mahojiano ya DW na Salma Said akiwa kusikojuilikana - Mzalendo.net