Mwandishi wa habari wa DW aliyetekwa apatikana

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,586
11,225
Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.

Kamanda wa polisi wa Dar es Salaam Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.

BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.

Bi Said alikuwa pia mwandhishi wa magazeti ya Mwananchi Communications.

Idhaa ya DW baadaye iliandika kwenye Facebook kwamba mwandishi huyo alipatikana jijini Dar es Salaam.

Chanzo: BBC
 
Weka nyama basi, mbona haraka hivyo?
Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.

Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.

BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.

Link Mwandishi wa DW aliyetoweka apatikana - BBC Swahili
 
inamaana yeye ni mualifu?
 
Nilisema hili lilikuwa Igizo kama walilonfanyia Kijana wa watu Dr.Ulimboka ili wapate Kick ya kisiasa. Chini ya Dr.Pombe wameogopa kumdhuru wamemrudisha salama. UKAWA huenda ni genge lenye mafungamano na vikundi vya kigaidi tusivipuuze sana.
Mkuu ukawa ndio wamemteka huyo mwandishi ?? Ulimboka kwa maneno yake alisema ni watu wa Ikulu sasa sijui unataka kutuaminisha nini
 
waliomteka ulimboka ni kina nani? mbona hawajakamatwa hadi leo? inaonekana una taarifa muhimu za kuisaidia polisi
 
Mkuu ukawa ndio wamemteka huyo mwandishi ?? Ulimboka kwa maneno yake alisema ni watu wa Ikulu sasa sijui unataka kutuaminisha nini

Waliomteka Ulimboka ni wale "wanaharakati" waliokwenda na Msururu wa Magari na live coverage ya TV's kumuokota Msitu wa Mabwepande. Alipolijua hilo kajitenga nao hata namba zao za simu hapokei
 
Haya ni matatizo vipi na yule afisa ambaye aliwekewa hadi vocha za laki mbili wakati anafanya mawasiliano na kina Ulimboka ,kumpigia wakutane Leaders ,baada ya kumpigia Ulimboka akapotea ?? Naye alikua mmoja wa hao wana harakati ?? Ulimboka anapokea simu zake ?
 
Haya ni matatizo vipi na yule afisa ambaye aliwekewa hadi vocha za laki mbili wakati anafanya mawasiliano na kina Ulimboka ,kumpigia wakutane Leaders ,baada ya kumpigia Ulimboka akapotea ?? Naye alikua mmoja wa hao wana harakati ??

Kuna TVs zilikuwa zinarusha live tukio la kuokotwa Ulimboka kwny Msitu wa Mabwepande siku iliyofuata waka organise maandamano ya kwenda Ikulu wakidhani ni rahisi kama yale ya Libya na yalianzia pale Palm beach wakiigiza "Arab spring" waandamanaji hawakujaa hata kwny hiace baada ya wananchi kuwastukia igizo lao
 
Back
Top Bottom