X-PASTER JF-Expert Member Feb 12, 2007 11,610 1,810 Jan 15, 2010 #1 MWANAMKE mmoja mjini Zanzibar Farihati Maulid (1 amejifungua watoto mapacha walioungana Usiku wa Mwaka mpya. Mwanamke huyo alijifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mnazi Mmoja saa tatu asbuhi.... Mapacha wote ambao ni wa kiume wenye moyo mmoja, wameunganika kuanzia kwenye kitovu hadi kwenye mfupa wa Kidari wana uzito wa kilo 2.8. Habari zaidi zinasema mama wa watoto hao ni mkazi wa Mwanyanya, Bububu katika Manispaa ya Zanzibar na uzazi huo ulikuwa wa kwanza. source: Issa Yussuf wa Daily News Zanzibar Attachments mpch.jpg 41.5 KB · Views: 96
MWANAMKE mmoja mjini Zanzibar Farihati Maulid (1 amejifungua watoto mapacha walioungana Usiku wa Mwaka mpya. Mwanamke huyo alijifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mnazi Mmoja saa tatu asbuhi.... Mapacha wote ambao ni wa kiume wenye moyo mmoja, wameunganika kuanzia kwenye kitovu hadi kwenye mfupa wa Kidari wana uzito wa kilo 2.8. Habari zaidi zinasema mama wa watoto hao ni mkazi wa Mwanyanya, Bububu katika Manispaa ya Zanzibar na uzazi huo ulikuwa wa kwanza. source: Issa Yussuf wa Daily News Zanzibar