""It took us more than 200 years of slavery and sufferings to come up with the revolution, na kwahivyo CUF/ZNP watuachie tupoe kwanza na madaraka yetu tuliyoyapata tarehe 12 January, 1964!!!
Tutaendeleza chuki na visasi hadi lini? Nina wasiwasi kama muandishi anaitakia mema Zanzibar na TZ kwa jumla[/QUOTE]
Bikirembwe,
Kama ikiwa kuitakia mema Zanzibar na Tanzania ni kuwapa serikali CUF, basi SIITAKII MEMA Zanzibar wala Tanzania.
Wakati wao CUF ushapita. Wametutesa kama walivyoweza - wao na mababu zao na sasa ni zamu yetu kuiongoza nchi! Period!
Mbona sisi tukishinda kwenye chaguzi za huko nyuma na wala siku moja hamkutupa madaraka? Leo tena mkishinda nyinyi mnataka madaraka? You win the elections or not, the government will still be chini ya mkulima na mkwezi!
Tutaendeleza chuki na visasi at least for another 200 years - kama mlivyoendeleza nyinyi. Else, kaeni kimya bila ya midomomidomo yenu ili muishi salama chini ya serikali yetu. Mshatutenda huko nyuma na kwahivyo hatuwezi kukuaminini tena. Mkipata nafasi mtakuja kutufanyia kuliko hayo mliyoyafanya huko nyuma na sote tunalijua hilo!!!
Please, tuachieni tupoe kwanza na madaraka yetu tuliyoyapata tarehe 12 January, 1964!!!