Zanzibar: Kumbukumbu ya kifo cha mwalimu Nyerere, watumishi 59,967 kupandishiwa mishahara na madaraja mwezi ujao

Kutuletea huyu mtu, Jakaya alitutapeli, ina maana CCM nzima waliona huyu ndio anafaa?
 
Ujinga mtupu...
Nimechoka kumsikiza mtu anayelialia kila sku..hana jipya huyu jamaa..sina muda Wa kupoteza Wa kumsikiza huyu jamaa
 
Ameongea hayo leo juma mosi akiwa Zanzibar kwenye maazimisho ya siku ya vijana/kumbukumbu ya kifo cha mwal. J.K.Nyerere na kuuzima mwenge wa uhuru.

Ambapo ameahidi kurekebisha mishahara ya watumishi zaidi ya elfu hamsini.

Watumishi wamepata matumaini japo kuwa wengi wao wanashindwa kumwamini moja kwa moja(harakaharaka) kwani wanakumbuka alivyowaahidi mambo mengi na alishindwa kutekeleza,

Mfano;
=>Aliahidi uhakiki utadumu kwa miezi miwili tu na baada ya miezi miwili angeongeza mishahara hasa kwa walio na mshahara mdogo hasa laki tatu kwa mwezi, ila ajabu hakutekeleza hadi sasa ni miaka miwili imepita.

=>Ni mara kwa mara aliahidi kuajiri kupitia kwa mawaziri wake lakini halikutimia hadi sasa hakuna ajira mpya wala kuziba mapengi ya wenye vyeti feki.

Mwisho; watumishi msichukue mikopo kwa kuwa Mheshimiwa ameahidi ila subilini mpaka atekeleze maana hizo fedha zina kazi nyingi za kuwapelekea wananchi maendeleo ambayo ni muhimu zaidi.
 
Back
Top Bottom