yellow java JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 1,283 Reaction score 2,332 Aug 27, 2023 #121 Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje .. Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje .. Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 Aug 28, 2023 Thread starter #122 yellow java said: Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje .. Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji . Click to expand... Kila mtu aende kwao sasa
yellow java said: Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje .. Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji . Click to expand... Kila mtu aende kwao sasa
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 Jun 21, 2024 Thread starter #123 Zanzibar na wao wagawe bandari zote kwa UAE kama ilivyofanyika kwa Bara
C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,497 Jun 21, 2024 #124 Anayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani? Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme.
Anayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani? Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 Jan 6, 2026 Thread starter #125 Conquistador said: Anayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani? Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme. Click to expand... Wanaofaidika kwa sasa ni waliopewa bandari na Mbuga
Conquistador said: Anayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani? Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme. Click to expand... Wanaofaidika kwa sasa ni waliopewa bandari na Mbuga