rais wa kamati ya olimpiki ni Ghulam Rashid wa zanzibar, nikuulize ameifanyia nini michezo kwa eneo lake? Mchezaji gani mwenye medali kutoka zanzibar? Eneo gani ameandaa kama eneo la michezo zanzibar? Au kutwa kukaa nyuma ya filbert bayi na kumlamba miguu?