wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
kuna taarifa nimezipata kuwa kesho jumamosi tarehe 1 mwezi wa 6 2013 . Kunafanyika mkutano mkubwa sanaaa, utakao ongozwa na mzee nassoro moyo, maalim seif, rais mstafuu abeid amani karume, himid mansoor na wanazi wengine wa kundi linaloidai zanzibar huru.
Ajenda kuu ni kuidai zanzibar na muungano wa mkataba.
Habari toka chanzo cha kuaminika taarifa za mkutano huo ni mdomo kwa mdomo si jui mnalijua hilo.
Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?
Demokrasia mzigoni.
Hakuna shida kaeni huko huko... mko karibia na ARABUNI
Afazali na muondoke bara make mmekua mzigo kwa kuwalisha, umeme bungeni mmeleta mambumbu wote hawajui hata kutafakari na wala hawajui hata makusufi ya chama chao,.