Zanzibar just now hali ya hatari

HUO UZUSHI...Zanzibar hakuna suala hilo kwa sasa kwani mie ndo niko huku. HUyu MwanaJF hasemi ukweli...sasa hivi zanzibar i-shwari sana jioni hii.
 
wewe umefika zanzibar ya wapi wewe? mie mbona sioni chochote unachowajuza wenzio wa JF. acha uzuri..hafu yaonekana weye ni mpenda shari sana. ha huko bara yawache huko na ya huku zanzibar tuwachiw wenyewe.
 
Kama huna cha kuandika jf bora nyamaza kimya kuliko kuandika uzushi au ndio nyinyi mnao furahia z'bar kutokea fujo mungu akushinde na chuki zako zisizo na mpango
 
wamevalia kiarabu yaani wamesjitiri.au unataka wavalie kizungu wakae uchi?
 

nini maana ya siasa. Pale pengo atakaposema tz kuna rushwa au kuna mafisadi au ccm imeshinndwa inakuwa dini? Acheni uzushi mnajifanya manjua kumbe useless
 

WACHA UNAFIKI **** MKUBWA UNATUDHARAULISHA KWA WAZANZIBARI NDIO MAANA HATA TUKILETA MAADA YA UKWELI KUHUSU ZANZIBAR HAPA JAMII FORUM WAMEKUWA HAWATUAMINI TENA WANATUONA WATANGANYIKA NI WATU FITNA NA TUSIOITAKIA MEMA NCHI YAO....
MIMI NIPO ZANZIBAR MITAA YA MLANDEGE NIMEKUJA HAPA TOKEA JUMATANO SIJASIKIA STORI ZOZOTE ZILE KUHUSU MUAMSHO KAMA WANATAKA KUFANYA MUHADHARA AU MAANDAMANO...NA NIKO NA WAZENJI MUDA WOTE HAPA,

KWA NINI SISI WATANGANYIKA TUNAPENDA KUWAFUATILIA SANA WAZENJI NA PIRIKA ZA NCHI YAO, MBONA WAO HAWAPENDI KUJUA MAMBO YA KWETU BARA???????

USIJARIBU TENA KULETA LONGO LONGO ZAKO HAPA Great Thinker KUHUSU ZENJI :israel:
 
uamsho hawana tofauti na boko haram, na al-shabab yote ni makundi ya kiislamu yenye msimamo mkali na sura ya kigaidi, hivyo ndio kusema serikali ijitahidi kulisambaratishia mbali
 
Hii habari ni uongo mtupu! Pumba tupu upuuzi! Atii watu wamevalia kiirabu ! Muandishi amejawa na uadui juu zanzibar waarabu! Chuki hazisaidii! Leo muhadhara ulikuwepo mbuyuni! Wala haukua lumumba wala hakuna mvutano na askari! Lakini tumewazoa juu ya fitna na chuki juu ya znz juzi tu muliandika juu ya kusajiliwa meli za iran znz. Nataka mufahamu iran ni ndugu zetu wala hatuta vunja udugu wetu kwa fitna za makufari!
 
Zanzibar Hotspots zote shwari( malindi, mji mkongwe, darajani,shangani,mtendeni ,michenzani ,jagambo) . Zanzibar njema atakaye aje.
 

Sasa ikiwa ww ulikuwepo si uwalize hao wanaokimbizana na Police utapata jibu, cc hapa JF tukujibu nini ?
 

Trash...!

Hata kama wana mkono wa Tembo
kwani na wao si ni Wazanzibari au hawana haki ya kuitetea nchi yao?
 
LOh tumechangia na kutoa hisia zetu, ila mleta mada mpaka sasa hujatueleza
hayo maandamano kuelekea viwanja vya malindi ni kwa ajili ya nini? mkutano wa hadhara au?
manake ulivyowasilisha mada napata picha ya mapambano!

Huyu mleta mada ni mzushi tuu, kilichotokea MUAMSHO walipanga kufanya mhadhara viwanja vya LUMUMBA lakn wamekataliwa na mhadhara ukahamishiwa msikiti wa m-buyuni viwanja vya Malindi na watu walifurika sana kuliko kawaida na hvo kupelekea askari kuja kiwanjai ndicho alichokiona huyu mleta mada.
 
uamsho hawana tofauti na boko haram, na al-shabab yote ni makundi ya kiislamu yenye msimamo mkali na sura ya kigaidi, hivyo ndio kusema serikali ijitahidi kulisambaratishia mbali

Labda isambaratike hio akili yako ya jiwe, isio na uwezo wa kufikiria hata maana ya UZALENDO.

Nadhani kama ni Ugaidi basi hao Madaktari wenu waliogoma ndio nambari 1, wauwaji wakubwa.
 

Una maana vazi kama hili alilovaa mheshimiwa Mbowe?



 
mzaire nawe umeliona hilo. Nionavyo mimi, Great thinker inabidi kufuatilia jambo vizuri na kulielewa kabla ya kuwasilisha jamvini! Vinginevyo tutajikuta tunachangia hisia za mtu jinsi anavyolichukulia jambo yeye personally.
 
Last edited by a moderator:
polisi wa Tanzania hawachoki na jeshi je halichoki?ni swali tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…