Jua linahusu nini, soma nyuzi yako ya Mwanzo.
Exact date ya kuanza Ramadhani ni kila tarehe 1-9- Al Hijr (tarehe Moja mwezi wa Ramadhan (tisa) wa kalenda ya Kiislaam "Hijr".
Mkuu sio tetesi ni habari za uhakika kabisa,
Mgogoro uliopo sasa ni kuwa hata watetezi wa muungano zanzibar wanaogopa kujitokeza...
Sera za muungano za CCM huenda zitapelekea kushindwa vibaya znz kwa chaguzi zijazo!
Tafadhali jibu swali. Ramadhani ni tarehe ngapi, na Eid El fitri ni tarehe ngapi?
Ramadhani ni kila tarehe 1-9- Al Hijr (tarehe Moja mwezi wa Ramadhan (tisa) wa kalenda ya Kiislaam "Hijr".
Eid El Fitr ni kila tarehe 1-10- Al Hijr (Tarehe Moja mwezi wa Shawwal (kumi) wa kalenda ya Kiislaam "Hijr".
Still, unaweza kuniambia tuna siku ngapi exactly zimebakia kuanzia sasa hadi ramadhani ianze, au eid el-fitri? Na kama kweli inajulikana kama ambavyo umeandika hapo juu, kwa nini kila mwaka tunakuwa na makundi mawili ya waislam kila moja likisheherekea eid-el-fitri siku yake? wanatumia calendar gani?
Sasa unahangaika hangaika nini? si uliuliza kuhusu tarehe ya Ramadhan na Eid ul Fitr? kwa kukusaidia zaidi:
What is Islamic Calendar The Islamic calendar is based on lunar months, which begin when a thin new crescent Moon is sighted in the western sky after sunset within a day or so after the New Moon. Hence, the month is either 29 days or 30 days. There are 12 months in Islamic year, which is either 354 days long or 355 days long, compared to (Gregorian) calendar year of 365 or 366 days. Since the Islamic Lunar year has 12 lunar months, it is on an average, 11 days shorter than the (Gregorian) year, and the Islamic year shifts earlier in each Gregorian year by about 11 days. The 12 months of the Islamic calendar are: [TABLE="class: blue14, align: center"]
[TR]
[TD]1. Muharram
[/TD]
[TD]2. Safar
[/TD]
[TD]3. Rabi' al-Awwal
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4. Rabi' al-Thaani
[/TD]
[TD]5. Jumada al-Oola
[/TD]
[TD]6. Jumada al-Thania
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Rajab
[/TD]
[TD]8. Sha'ban
[/TD]
[TD]9. Ramadan
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10. Shawwal
[/TD]
[TD]11. Dhu al-Qi'dah
[/TD]
[TD]12. Dhu al-Hijjah
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Islamic (Hijri) calendar year is usually abbreviated A.H. in Western languages from the latinized "Anno Hegirae" or more commonly known as "After Hijrah."
Soma zaidi: Islamic Lunar Calendar
Tafadhali jibu swali. Ramadhani ni tarehe ngapi, na Eid El fitri ni tarehe ngapi?
kumbe watu kama nyie bado mnaishi????!!
zomba, ama unajuwa unachokwepa au hutaki kuelewa ninachouliza. Sasa pamoja na literature yako naomba uangalie hapo kwenye red. moon-sighting! huu mtindo wa moon-sighting ulitumika sana kipindi cha ujima (fact). Then rudi kwenye hoja yako ya msingi kuhusu mabadiliko yaliyoletwa na uislama.
Now, swali langu, based on your theory,uislam ulibadilisha nini kwenye calendar, moon-sighting for a genetically modified moon-sighting? Na kama theory yako is correct kwanini kuwe na dates tofauti kwa waislam wakati wa Eid? Kwa nini kundi moja lisheherekee Eid siku tofauti na kundi jingine -ndani ya nchi moja? I want you to think logically using whatever literature you can get hold off.
Na kukurahishia, naweza kukumbia x'mas ni tarehe 25 December. Nina uhakika na hili 100%. mwezi uonekane ama usionekane but 25 December najua ni ubwabwa. Na kwenye calenda utaona. Lakini ikija eid au ramadhan lazima kuna alama ya * meaning - depending kuonekana kwa moon! 2012!!!
nguu007 wewe unaparamia tu hujui historia ya zanzibar...watu wa zanziabr hawajawahi kuwa watumwa wa mtu yoyote..si mmakunduchi, si mtumbatu si mdonde si mpemba walokuwa watumwa.ama walifanywa watumwa...ila zanziabr kilikua ni kituo cha biashara ya watumwa walio toka bara ya tanganyika ndio walio kuwa wakiletwaa zanziabr kama watumwa....wazanzibar hawajahi kuwa watumwa...go back to your teacher !!!Kwanza Zanzibar hawana Utamaduni wao; Utamaduni wao ni kwa kiarabu toka Oman
Wengi waliokwenda huko kama Watumwa na kubaki kama wananchi Walipochukua Dini ya kiislamu; na Tamaduni zao
Zilipotea; Wakautwaa Uislamu... Maalim Seif alikuwa kilioni ana nyumba Bara, Wanadhani Wakivunja huo Muungano bado
Watakuja Bara kama kwao? Waache Wafanye watakavyo... Ni wakati Mzuri... Rais wa Muungano ni Muislamu. Waziri wa
Ulinzi Muislamu.
* Na hapo hao Wanajeshi wa Zanzibar kutolipwa Waziri wa Ulinzi kwa Miaka 10 ni Mzanzibari; Mtoto wa Mwinyi kwanini wasipeleke
Matatizo yao kwake; Haya Sasa Hivi Waziri wa Ulinzi ni Mzanzibari tena, kwanini wasiende kumuona? au ni Uvivu na kupenda kukaa
barazani na kulalama?
zomba, natoka nje ya mada kidogo. Hapo kwenye red: Unaweza kuniambia ni kwa nini karne ya leo bado watu wanaangalia mwezi ili kujua siku ya sherehe imefika au la! Kiliondolewa nini na kuwa replaced na nini maana mambo ya kuangalia jua ya ujima?
nguu007 wewe unaparamia tu hujui historia ya zanzibar...watu wa zanziabr hawajawahi kuwa watumwa wa mtu yoyote..si mmakunduchi, si mtumbatu si mdonde si mpemba walokuwa watumwa.ama walifanywa watumwa...ila zanziabr kilikua ni kituo cha biashara ya watumwa walio toka bara ya tanganyika ndio walio kuwa wakiletwaa zanziabr kama watumwa....wazanzibar hawajahi kuwa watumwa...go back to your teacher !!!
na pia waulize vizuri walimu wako ..uislam zanzibar umeingia miaka ndani ya miaka ya mwanzo ya uislam baada ya Mtume.
msikiti wa mwanzo ambao upo katika historia umejengwa kizimkazi unguja miaka 500 tu baada ya kuja Mtume Muhhamd.
na watu wa zanzibar hawafati utamaduni wa kioman..wala waraabu...labda wewe unaona uislam ni u-oman hujui tofauti.
nikufundishe kidogo.ndani ya uislam kuna madhehebu mbali mbali.lakini makubwa ni 2 yaani sunni na shia.watu wa zanziabr kwa umoja wao ni sunni,mashia wapo kidogo ni kina Raza na jamii ya khoja, suni ndio majority wamo wa asili zote waarabu waasia na washirazi na wafrika kutoka bongo.
ama watu wa oman madhehebu yao ni ibadhi..kuna msikiti wao pale mosque street dar es salaam.hawa ni kutoka oman..na walipo kuja hawa zanzibar walikuta wazanzibar tayari ni waislam.na uislam zanzibar umeletwa moja kwa moja kutoka hejaz, ama saudi arabia ya sasa hivyo usipayuke kusema usiyo yajua....ama porojo za uongo mnao pigwa huko makanisani..
zanziabr wana ustaarab wao wana jijua ndio maana wanataka wajitoe na muungano kwani walikosea kujiunga na watu ambao wana utamaduni tofaut na wao ,ni nchi zenye ustaarab tofauti, ni makosa ya kihistoria ambayo vijana wanataka kuyarekebisha.
ama kuhusu mwinyi nime sema wazi humu kuwa yeye sio mzanzibar na amepata urais wa kule kwa matakwa ya watu wa tanganyika na ni moja ya kero na hadaa ya huu muungano
ila kama wewe akili yako kila alie muislam ni mzanzibari basi hapo ntashindwa kukusaidia