Zanzibar ipate IGP na CDF wake ili ulinzi na usalama uimarike

Zanzibar ipate IGP na CDF wake ili ulinzi na usalama uimarike

Zanzibar ni nchi Huru

Ni muhimu sana ipate IGP, CDF na mkurugenzi wake wa Usalama wa Taifa.

Ile ni nchi tuache mambo ya kufumbafumba.

Zanzibar ipate haki yake kwani ina Amiri eshi mkuu wake hivo sio busara amiri jeshi kutokua na vyombo vyake imara anavyoweza kuviamrisha hapana na haiwezekani lazima hiyo haki Wazanzibar waipate ni haki yao.
we utakuja kuolewa. Haki gani, ya ndoa. Kwann huoni mwanaume mzima na viungo vyako huoni aibu kuandika msg km hii
 
Back
Top Bottom