Alex Manonga
Senior Member
- Oct 8, 2010
- 155
- 86
No. Tunaunda Katiba ya Muungano, siyo ya Tanganyika.Huu muungano una umuhimu gani kwetu sisi watanganyika?Tunanyonywa mno na hao wazenji.Katiba inayoundwa ni ya watanganyika, inawahusu nini hao wazenji?