Mimi nadhani ujinga mdogo ukilelewa unakua mkubwa, sisi hatujaweza. Mashambulizi ya namna hiyo ni vema chanzo kipatikane ili ujue unapambana na nani. Hawa wanajificha vizuri, wacha tusaidiane kuwatafuta ili tujue ndani yake kuna nini halafu watuachie.
mie nadhani hili suala la watu kuuwana kiholela kama hivi hata timu za ufundi za waganga wa kienyeji zinahitajika zifanye kazi ya kutafuta wauwaji sio kila kitu FBI maana hata wanga na wachawi wakiwa unawasumbuwa hawakupati msukule basi hukupiga mapanga na kukumaliza tu, kwisha kazi. sio kila kitu uislamu na ukiristo god damn it, na hao serikali isipokuwa makini kwa hichi kitendo cha kuleta FBI ndio kitawachochea hao ALSHABAB kuja TANZANIA sasa maana watapata mihanga ya kizungu ambayo inaleta upinzani katika mapigano.