Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

Status
Not open for further replies.
Mimi nadhani ujinga mdogo ukilelewa unakua mkubwa, sisi hatujaweza. Mashambulizi ya namna hiyo ni vema chanzo kipatikane ili ujue unapambana na nani. Hawa wanajificha vizuri, wacha tusaidiane kuwatafuta ili tujue ndani yake kuna nini halafu watuachie.
mie nadhani hili suala la watu kuuwana kiholela kama hivi hata timu za ufundi za waganga wa kienyeji zinahitajika zifanye kazi ya kutafuta wauwaji sio kila kitu FBI maana hata wanga na wachawi wakiwa unawasumbuwa hawakupati msukule basi hukupiga mapanga na kukumaliza tu, kwisha kazi. sio kila kitu uislamu na ukiristo god damn it, na hao serikali isipokuwa makini kwa hichi kitendo cha kuleta FBI ndio kitawachochea hao ALSHABAB kuja TANZANIA sasa maana watapata mihanga ya kizungu ambayo inaleta upinzani katika mapigano.
 
kwa lipi mkuu,do u knw how much u spend to create a priest ama una bwabwaja 2?imam?wats a imam angekua shekhe sawa!imam si kama mwenyekiti wa kigango!uwezikuita iki ni kisasi?imam ni m2 mdgo sana kwa padre bro thnk twic sio kubwabwaja 2.
imamu ni kiongozi wa dini shekhe mtu tu hata babu yako anaweza kuwa shekhe usimfananishe na kazizi wako padri
 
Huu uhuni unaanza kukithiri, hata boko haram walianza hivihivi, tuungane wakristo kwa waislam against magaidi ili wajikute wako peke yao, vinginevyo hali itakuwa mbaya
Siku zote na mahali popote duniani Muslim mna matatizo sana. Mnachokitaka ni nini? Hivi mkiua mtu kwa dini hivyo ndiyo kibari cha kuona mbinguni?
 
imamu mwenyewe aliye na
msimamo wa wastani. msimamo mkali hawawezi kuuwawa, bali ndio wanaopanga
mauaji ya waliowatanbua kama wapinzani wao

mkuu, hoja ya msingi ni kuwa Imamu kauwawa. hilo la msimamo mkali unalisema wewe. na inavyoonekana ni kuwa hujui maana ya imamu na nafasi yake katika dini ya kiislamu. imamu ni mtu mkubwa sana na ibada haifanyiki bila ya kuwa na imamu. suala la misimamo halina uhusiano na majukumu ya imamu
 
Msisahau kuna ujumbe wa uamsho ukitoa taarifa kwa wakuu wao nje ya nchi na kwa wafuasi wao kwamba sherehe ya mapinduzi mwaka huu 2013 ingekua ya mwisho. Chonde tusianguke kwenye mtego, hapa udini unapandikizwa tu kama silaha. Sababu halisi wafuasi wa sultani wanaitaka nchi.
 
mie nadhani hili suala la watu kuuwana kiholela kama hivi hata timu za ufundi za waganga wa kienyeji zinahitajika zifanye kazi ya kutafuta wauwaji sio kila kitu FBI maana hata wanga na wachawi wakiwa unawasumbuwa hawakupati msukule basi hukupiga mapanga na kukumaliza tu, kwisha kazi. sio kila kitu uislamu na ukiristo god damn it, na hao serikali isipokuwa makini kwa hichi kitendo cha kuleta FBI ndio kitawachochea hao ALSHABAB kuja TANZANIA sasa maana watapata mihanga ya kizungu ambayo inaleta upinzani katika mapigano.
na kama tunataka kusema haya matukio yanahusisha dini basi nadhani wakiristo ndio walimuanza SHEKHE MKUU wa Zanzibar SOURAGA kwa kumwagia ACID usoni na mpaka sasa serikali haijatoa tamko lolote kuhusiana na matokeo kama hayo, ikafuatiwa na PADRI aliyepigwa risasi kifuani na watu wanasema labda ni ujambazi maana huyo alikuwa ni mshika fedha wa kanisa moja la KARIAKOO mjini Zanzibar, baada ya hapo ikafuatiwa na padri wa juzi aliepigwa risasi na kuuwawa kwa hiyo kama umesoma hisabu fulani zile hii ngoma ni droo 1 shehe alomwagiwa acid (yuhai)+ imamu alipigwa mapanga (kafa) - padri alopigwa risasi mshika fedha (yuhai) + padri aliyepigwa riasi (amekufa) = 0 (ngoma droo) watafutwe na waliochoma moto makanisa na wale walochoma moto misikiti kipindi cha miezi mitano iliyopita======JAWABU NINALOONA MIMI hizi zote ni siasa tu na tatizo kuongozwa na viongozi ------- na mambumbumbu
 
Kama ni kweli huyo Imam atakuwa wa BAKWATA maana Uamsho na bakwata mmmh!!!
mtaamini maneno yangu,kuna mkono wa serika... baada ya padri nilisema atafuatia sheikh.ili kila upande upate hasira.sasa kama busara haita tumika.wakristo wahame zanzibar,maana sasa ni vita kuwindana raia sio mapandri tena
 
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake,

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.
Mimi ninachokiamini huu ni mpango maalum ambao umepangwa kuwatoa watu katika malengo, wazanzibari wamejipanga kuwa kitu kimoja iwe kristo uwe muislamu wote moja ,kudai zanzibar huru, kudai zanzibar ni kuisambaratisha ccm, bila ya ASP hakuna ccm.

CCm wanajua fika kuwa zanzibar ikondoka kwenye himaya ya koloni hili la kiccm basi huko bara nako ccm inaondoka na chadema kuchukua nchi, cuf ikichukua zanzibar vile vile basi chadema huku bara nayo kuchukua nchi, wanafanya kila njia ccm kuhakikisha kuwa muungano unadumu, ccm inawepo daima.

Hayo yote matokeo ni kuzima madai ya wananchi, hii masuala ya kuuliwa padri au imamu ni muwatoa wa watu katika malengo, ninacho waomba watanzania ,watanganyika wazanzibari tuwe kitu kimoja, hapa hakuna gaidi wala alkaida, kama wapo basi watuambie nani ali muuwa imamu wetu na padri ? Utagundua kuwa hizi ni njia za kuwagonganisha wananchi, badala ya kupambana na serikali zao wanapambana wenyewe kwa wenyewe, tusikubali kuingia katika mitegoo please please .

Usalama wa Taifa hakuna asie jua, wanakila njia za kufanya kuhakikisha utawala wa kimabavu unaendelea, Tumeshuhudua tume ya warioba ikifanya kwa siri kukusanya maoni ya katiba, wakati walitoa ahadi kuwa maoni yatakuwa ya uwazi kabisa, hapa inaonyesha wazi kuwa ccm haitaki tena mabadiliko ya wananchi, ndio sasa hivi wamekuja najia mpya ya kuvunja malengo ya wananchi katika kutoa malengo yao, ya mabadiliko.

TUSHIRIKIANE, hawa FBI wanafiki tu, mbona hawakuja wakati wa mauwaji ya 2001 ya maandamano zanzibar walipouliwa wazanzibar zaidi 50, mbona hawakuja mauwaji ya uchaguzi 2005, mbona hawakuja mauwaji ya Makamo wa rais wa jamuhuri ya muungano DR omar ali juma, mbona hawakuja kuchunguza mauwaji ya Rais wa mwanzo wa zanzibar Abeid Amani karume, Mbona hawakuja kuchunguza mauwaji ya Arusha ya maandamano ya chadema , mbona hawakuja kuchunguza maandamano na mauwaji huko Mtawara ?????????????????

Hawa vingozi ni wanafiki wakubwa wanata kusema kuwa tz imeingia vita vya udini wakati vita ni kuondoa magaidi wanao hujumu uchumi na mali za wananchi na rasilimali.

Tanganyika na zanzibar tushirikiane kuwa kitu kimoja . ccm iyondoke madarakani.

Pole kwa wazanzibari wenzangu tuvumilie, tusiingie katika mitego, pia pole sana kwa watanganyika na kristo wote. tuwe kitu kimoja.
 
Huyu alikuwa upande wa BAKWATA kama yule aliyemwagiwa tindikali? Huku bara yameshatokea matukio ya kushambuliwa kwa mashehe wa BAKWATA na waislam wenyewe...rejea vitisho vya shehe Ponda kwa Mufti na matukio kama yale ya arusha ya shehe wa bakwata kurushiwa mlipuko na yule wa tunduru aliyecharangwa mapanga na waislam wenye itikadi kali kwa sababu alishirikiana na wakristo. Hakuna haja ya kuwasingizia wakristo kwa sababu huo ni utamaduni wa waislam...mnawafanyia hivyo wasio waislama pamoja na nyinyi kwa nyinyi...angalia pakistan, iraq nk
Wakristo tumekosa nini mpaka twende kumcharanga Shehe mapanga? Ili iweje?
kilichokuwa kinajengwa ndio hayo maneno yako unayosema,lakini wewe unayasema hayo kwa kuwa hauishi zanzibar,wakristo wanaishi zanzibar inabidi wahame haraka
 
ZANZIBAR imekaa vibaya sana kivita. Yote iko majini FBI wakiizunguka na meli zao za kivita na kuanza kusaka wahalifu hakuna anayeweza kuponyoka si sehemu salama sana kwa AL SHAABAB kupambana. Zanzibar inaweza kushwagwa kwa siku mbili tu.
boss usiseme Zanzibar imekaa vibaya usiwe na wewe kama wale wasokuwa na akili, kukiwa na vita Zanzibar ujuwe ndio vita Tanzania nzima, au ndio ushauvunja muungano hata mambo bado unaanza kumkataa nduguyo?????
 
Mimi ninachokiamini huu ni mpango maalum ambao umepangwa kuwatoa watu katika malengo, wazanzibari wamejipanga kuwa kitu kimoja iwe kristo uwe muislamu wote moja ,kudai zanzibar huru, kudai zanzibar ni kuisambaratisha ccm, bila ya ASP hakuna ccm.

CCm wanajua fika kuwa zanzibar ikondoka kwenye himaya ya koloni hili la kiccm basi huko bara nako ccm inaondoka na chadema kuchukua nchi, cuf ikichukua zanzibar vile vile basi chadema huku bara nayo kuchukua nchi, wanafanya kila njia ccm kuhakikisha kuwa muungano unadumu, ccm inawepo daima.

Hayo yote matokeo ni kuzima madai ya wananchi, hii masuala ya kuuliwa padri au imamu ni muwatoa wa watu katika malengo, ninacho waomba watanzania ,watanganyika wazanzibari tuwe kitu kimoja, hapa hakuna gaidi wala alkaida, kama wapo basi watuambie nani ali muuwa imamu wetu na padri ? Utagundua kuwa hizi ni njia za kuwagonganisha wananchi, badala ya kupambana na serikali zao wanapambana wenyewe kwa wenyewe, tusikubali kuingia katika mitegoo please please .

Usalama wa Taifa hakuna asie jua, wanakila njia za kufanya kuhakikisha utawala wa kimabavu unaendelea, Tumeshuhudua tume ya warioba ikifanya kwa siri kukusanya maoni ya katiba, wakati walitoa ahadi kuwa maoni yatakuwa ya uwazi kabisa, hapa inaonyesha wazi kuwa ccm haitaki tena mabadiliko ya wananchi, ndio sasa hivi wamekuja najia mpya ya kuvunja malengo ya wananchi katika kutoa malengo yao, ya mabadiliko.

TUSHIRIKIANE, hawa FBI wanafiki tu, mbona hawakuja wakati wa mauwaji ya 2001 ya maandamano zanzibar walipouliwa wazanzibar zaidi 50, mbona hawakuja mauwaji ya uchaguzi 2005, mbona hawakuja mauwaji ya Makamo wa rais wa jamuhuri ya muungano DR omar ali juma, mbona hawakuja kuchunguza mauwaji ya Rais wa mwanzo wa zanzibar Abeid Amani karume, Mbona hawakuja kuchunguza mauwaji ya Arusha ya maandamano ya chadema , mbona hawakuja kuchunguza maandamano na mauwaji huko Mtawara ?????????????????

Hawa vingozi ni wanafiki wakubwa wanata kusema kuwa tz imeingia vita vya udini wakati vita ni kuondoa magaidi wanao hujumu uchumi na mali za wananchi na rasilimali.

Tanganyika na zanzibar tushirikiane kuwa kitu kimoja . ccm iyondoke madarakani.

Pole kwa wazanzibari wenzangu tuvumilie, tusiingie katika mitego, pia pole sana kwa watanganyika na kristo wote. tuwe kitu kimoja.
kilichokuwa kinatengenezwa kimetimia,tutamuacha adui yetu ccm, tuanze kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
Kinachosikitisha na kushangaza kuna watu bado hawaoni matendo haya Kama ya kigaidi!
Mkuu, kweli inashangaza! Sio ujambazi hata kidogo! Wala sio wahuni kama wengine wanavyosema! Kama sio magaidi, ni nani basi? Kama hisia za kuwa ni nani zitaachwa ziendelee twaweza kukumbwa na mauaji ya kidini/kimbari! Kuondoa hisia hizo, kwa vile serikali imeonesha nia ya kutumia majasusi wa kutoka nje, wangefanya hivyo ili kubainisha kuwa ni akina nani walio nyuma ya mauwaji haya ili wachukuliwe hatua na Wakristo wasiwahisi Waislamu (kama hawahusiki) na wala Waislamu wasiwahisi Wakristo (kama hawahusiki), anayehusika abainishwe na kuchukuliwa hatua ili utengemano urudi tena.
 
Poleni familia ya khamis na poleni sana waislamu kwa kifo cha ghafla cha imamu
 
hii ndo Tanzania bhana! Wapeni nchi yao wawe huru wafanye watakayo
Mkuu, nchi tena? mbona wameshaiza, tena kwa lisiti!Bado kupeleka mkuu wa wilaya tu! Na kwa mtindo waliouanzisha wanahimiza utekelezaji tu!
 
taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa ali khamis ambaye ni imamu wa msikiti mkaazi wa mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko kidoto mkoa wa kaskazini unguja jana,

kamanda wa polisi wa mkoa wa kaskazini unguja, ahmada khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko kitope wakati marehemu akiwa shmbani kwake,

kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.
viini macho hivyo vinaanza, sasa kama wameweza kujuwa kama hivi ndio ilivyotokea kuwa walikuwa ni wezi, mbona wametoa taarifa faster kuwa ni tukio la wizi ila la padri na matukio mengine hawajaongelea kitu zaidi ya ugaidi????? Angalau wangesema pengine na yeye padri alichukuwa mke wa mtu jamaa kamgundua ndio akaja kumpiga risasi, au zamani alikuwa ni jambazi jamaa wamekuja kurevange au alikuwa ni muuza madawa ya kulevya halafu kawa padri.................unajuwa ukitaka kujua chanzo cha mauaji basi bora uanze na back ground check ya yule aliyeuwawa, biashara yake, familia yake, marafiki zake, maadui zake, then utapata kusolve kitendawili hicho. Mie nahisi haya ni mambo ya bongo movie tuu haina kichwa wala miguu. Haya jitahidini kuzima hasira za watu ili mjuwe na kuzima hasira za wakiristo tu, semeni tu yule padri alikuwa anadeal na madawa ya kulevya, maana next day watu walokamatwa kwa tuhuma hizo tunawajuwa wote ni wauza madawa ya kulevya au mnataka tuwataje na majina yao???? Pumbav zenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom