KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,724
- 12,084
Kama ni kweli police wanayo kazi. kwa vyovyote wakristu hawana hilka hiyo ya jino kwa jino ila kama ndivyo basi ni mara ya kwanza na wanafaa waadhibiwe mbaya kabisa kukomesha tabia hiyo. akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto
Bora ungekaa kimya nikuwekee Genocides za viongozi Wakirsto walivyotoa roho za mamilioni ya watu.
Tumia akili kifo ni kifo hakijalishi wauaji wametumia zana gani kuulia.Hivi padre mushi angeuawa kwa mapanga pia ungesemaje.Naona mmeanza.Kwanza mlianza kuwatuhumu waislamu kuhusika na kifo cha padre na sasa naona kama harufu ya kisasi vile tena kwa kuvizia.Haya ni mauaji ya kuvizia kabisa.Hapo mwenye akili atajua kwani yametumia mauaji ya aina hiyo kwa upande wa zanzibar.Imamu huyo amepoteza maisha.Haya ni makundi mawili tofauti kabisaaa. Mosi, Padri Mkenda alikuwa auwawe kwa bastora. Padri Mushi kauwawa kwa risasi. Wauaji wakiwa kwenye vespa kama ilivyokuwa kwa padri Mkenda.Pili hawa ni magaidi kamili. (These are professional assassinates);
Wauaji wa imamu ni wauaji wa kienyeji kabisa, kama vibaka . wameuwa kwa mapanga. Wakimpiga mapanga imamu.Pili, imamu kauwawa mchana shambani. Au tusema ndo tofauti za Sunni na Shia.Hii, ni dalili kwamba moto huo uliowashwa hautazimwa huko ZNZ. Unabii wa Mwl. Nyerere umeanza kutimia.
Kumbe alikuwa anawazuia wezi wasiibe nazi zake wakamchoma kitu chenye ncha kali? Mwanga wa milele...
Masuala mazito kama haya hayatakiwi kusema liwalo na liwe,,, ni hatari bado kidogo hawa jamaa wataanza kusogea magogoni watch'out wakuu
Kwa Elimu yenu mliyonayo, Taifa limenufaikaje? Au ndo zile sifa za Sie Tumesoma sana lakini Hamjaelimika wala kustaarabika? Muhimu ni kuacha kudharauliana na kukebehi wenzio. Tujenge Taifa letu pamoja kwa haki bila dhulma.
Ukiona mtu kaua kwa jina la Ukristo huo si ukristo. Bibilia haijasema ili kufika mbinguni nguzo/imani mojawapo ni kuua.
HAKUNA PEPO ya wauaji katika ukristo.
Hao ni wakristo mashetani.
1P=1,000,000,000ImamUkilinganisha knowledge skill/resource iliyopotea, Padre mmoja = imam 100.
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake
Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.
Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.
What goes around comes around!
NAWASIHI WAKRISTU MSIFURAHIE KIFO CHA IMAAM SIO JAMBO ZURI KUFURAHIA KIFO, SISI TUMESEMA HATULIPIZI MUNGU NDO MTOA ADHABU, ASITOKEE YEYETO KUPONGEZA MAUJI YA IMAAM.