B ila shaka kitambulisho cha Utanzania hakija kubalika zanzibar kwa kuwa Zanziabr pia wana vitambulisho vyao vya Uzanzibari. Kama ni nchi moja kwanini kuwe na vitzmbulishio karibu sabini?. Iko tatizo hapa hapa. Wazanzibari wana vitambulisho vyao na watanganyika wawe na vyao. Sisi wazanzibari tunajitambulisha kote ulimwenguni kama wazanzibari kwanza baadae n dio tanzania kwa shinikizo wala sio hiari.
Wazanzibari wanataka nchi yao huru. Tatizo ni ukoloni. Tunaweza kudumisha uhusiano wetu tukiwa mbalimbali kuliko hali ilivo sasa hivi.
Matatizo yapo kwenu wabara. Ndugu zetu nyinyi mumaktaa kuwafahamu wazanzibari. Huu ukaidi wenu ndio unawasukuma wazanzibari kudai nchi yao. Hamuna lugha ya upole. Mawaziri wenu, ambassadors wenu, viongozi wenu na hata walalahoi wanawadharau sana wazanzibari. Wazanzibari wamechoshwa na udanganyifu na kuburuzwa na serikali ya Tanganyika kwa jina la muungano. Basi wakati umefika. Muungano kuvunjika ni kama kufa. Kila mtu atakufa na muungano pia unakufa. Sasa hivi muungano upo ICU(coma).
Vitambulisho vya Wazanzibari vinafaa na vinatumika kwa masheha kuwakataa na kuwabana wapinzani. Sheha huyo huyo aliyekuuzia kiwanja, au mume wa mwanawe ikiwa huyu atakuwa mpinzani, siku ya kudai kitambulisho anadai huishi mtaani kwake na mkwewe hamtambui. Hivi hutumika zaidi wakati wa uchaguzi wa wawakilishi.B ila shaka kitambulisho cha Utanzania hakija kubalika zanzibar kwa kuwa Zanziabr pia wana vitambulisho vyao vya Uzanzibari. Kama ni nchi moja kwanini kuwe na vitzmbulishio karibu sabini?. Iko tatizo hapa hapa. Wazanzibari wana vitambulisho vyao na watanganyika wawe na vyao. Sisi wazanzibari tunajitambulisha kote ulimwenguni kama wazanzibari kwanza baadae n dio tanzania kwa shinikizo wala sio hiari.
Wazanzibari wanataka nchi yao huru. Tatizo ni ukoloni. Tunaweza kudumisha uhusiano wetu tukiwa mbalimbali kuliko hali ilivo sasa hivi.
wa zanzibar ni wabinafsi, zanzibar hakuna rasilimali yeyote ya maana zaid ya karafuu, lakini wamekuwa na gubu ilhali wao ndio wamewekeza zaid huku bara
wa zanzibari wamepewa fursa kubwa kisiasa na ki uchumi, kisiasa wanaweza kupata nafasi yeyote bara lakini mtu wa bara hawezi kupata hata ujumbe wa mtaa
ki uchumi na kijamii ni rahisi mzanzibari kupata eneo na hata kufanya biashara huku bara kuliko m bara kwa zanzibar
lakini ukipita mitaani zanzibar ni kila siku maneno hayaishi unakuta stika zinasema 'zanzibar tuachwe tupumue' 'usiseme muungano ni mkataba tuuu' kwenye maskani ni uchochezi kila uchao
mimi naona wazi wakati umefika, kura ya maoni ipigwe kwa uhuru na haki then ikionekana haja ya kuvunja muungano na uvunjwe ili mpinduane pinduane kama madagaska, leo ustadh juma kawa rais kesho maalim hussein keshokutwa tunawakatia umeme na mlivyo na kiburi mtauzwa mchana kweupe
mtarudishwa enzi za usultani
shauri zenu na fikra zenu!
tanzania iwe ya wote lakini zanzibar ya wazanzibari!?
Mtabe,
..sasa kama nyinyi mko huku Tanganyika, kwanini mnatuzuia tusije Zanzibar??
..sisi hatuna tatizo ikiwa mtapenda kuvunja muungano, tatizo ni haya mambo yanayoleta chuki miongoni mwa wananchi.
mimi na wewe nani mshamba muungano mnasema hamuutaki lakini fursa zote za muungano mnazita muuvunje mapema mkichelewa tutauvunja sisi tutawatimua halafu mjue kama muungano ndio uliwafanya nyinyi kuitwa watanzaniawewe jamaa mjinga sana hivi hujui kua hata mtakatifu nyerere kua alisoma makerere uganda? Je nae alikua mganda?
Heb njoo utembee zanzibar utoe ushamba mana naona uko mbali sana kwenye vijiji vya mkoa wa dodoma huko ambako watu hata gari kwao ni ajabu.
Ujue tu kuna wageni kibao wanaosoma udom ambao si watanzania je nao waondoke?
Istoshe udom imejengwa kwa fedha ya jamhuri ya muungano ya tanzania hivyo basi wazanzibari wana haki kufaidi nguvu zao.
B ila shaka kitambulisho cha Utanzania hakija kubalika zanzibar kwa kuwa Zanziabr pia wana vitambulisho vyao vya Uzanzibari. Kama ni nchi moja kwanini kuwe na vitzmbulishio karibu sabini?. Iko tatizo hapa hapa. Wazanzibari wana vitambulisho vyao na watanganyika wawe na vyao. Sisi wazanzibari tunajitambulisha kote ulimwenguni kama wazanzibari kwanza baadae n dio tanzania kwa shinikizo wala sio hiari.
Wazanzibari wanataka nchi yao huru. Tatizo ni ukoloni. Tunaweza kudumisha uhusiano wetu tukiwa mbalimbali kuliko hali ilivo sasa hivi.
Chao chao chetu chao! Afadhali iwe serikali moja ili chetu kiwe chao na chao chetu.
Tanzania iwe ya wote lakini Zanzibar ya Wazanzibari!?