Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
katika statement yako, hujaeleza bayana kama alikuwa mwanachama wa CCM, kwa sisi tusiyowahamu hao watu wa mkoa huo inatupa shida kuwatambua
Aise, kweli nimekumbuka bwn, Shein ndiye rais pekee duniani ambaye hakujipigia Kura, kumbuka kituo chake kilikua Dar na sio Zanzibar and Dar kama sehemu ya Tanganyika, uchaguzi wa Zanzibar haukutuhus.
Tanganyika kabla ya kupigana na Rwanda tunahitaji vita ya kirafiki na Zanzibar ....

Aisee nchi jirani mna mambo! Safi sana.

haka kawilaya ka Tanzania kana makeke sana
Aisee nchi jirani mna mambo! Safi sana.
Tanganyika kabla ya kupigana na Rwanda tunahitaji vita ya kirafiki na Zanzibar ....
Aise, kweli nimekumbuka bwn, Shein ndiye rais pekee duniani ambaye hakujipigia Kura, kumbuka kituo chake kilikua Dar na sio Zanzibar and Dar kama sehemu ya Tanganyika, uchaguzi wa Zanzibar haukutuhus.
Alafu kumbuka haikua kwa bahati mbaya, Ila ni sheria ya MkAazi hakumruhu kwani haimtambui kama mkaazi wa Znz.
Pia tunagundua kuwa znz ndio nchi pekee Duniani ambayo Mtalii(asiye Mkaazi) anaweza kugombea Uraisi na akaruhusiwa na Kushinda.
Kifupi Raisi wa znz kwa sasa ni Mtalii.

Ushavunja muungano nini? Au uko wapi???
Good riddancehuyu ndie Edi Riyammi, kama mnamkumbuka Salim Msabah yule muwakilishi wa mwanzao kujiuzulu CUF na ikawa sakata kua ametekwa inasemekana huyu jamaa alihusika kwa maslahi ya CCM.