majaribio ya kweli ya M4C ni pale watakapoingia sehemu hizi nilizozitaja.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kipimo ni M4C,kama mnajiamini nendeni dodoma,moro au zenji tuone.mmmm,,,,,,dodoma nadhan kumeshaathirika,,,,ukiizungumzia moro,,,u mean manispaa au wilaya zake???maana kama kilombero kwa yule mbunge wa chadema alofariki,,,,naona mteketa hana nafasi,,,,CHADEMA wakipanga nyc person watashinda,,,tuje kilosa kati kwa mkulo,kwa sasa hakubaliki,,,,,anabebwa na wazeee,,,,so vijana wakiamua wanamtoa(ametoka marmo,,,,itakua yeye),,,kwa moro mjini(unpredictable,,,,abood na hivi huwapa mabas ya kuzikia raia wale sijui),,,,,siwez kupaongelea sana
kama milioni moja point tano hivi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro.
Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010.
Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.
M4C nikama maji usipo yanywa utayakoga.
Zanzibar si ndo hao hawataki Muungano!Ukiangalia Dododma ni kati ya mikoa ambayo haina maendeleo makubwa, wakina matonya kibao. Kwanini hata wanawangangania hawa mafisadi, hawataki maendeleo.
Nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro. Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010. Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
jingalao,Kama mnajiamini nendeni Dodoma na Moro au Zenji tuone.
unamaanisha watu wenye umri zaidi ya miaka 18 ni 1.5 milln?? na population nzima ni watu wangapi?kama milioni moja point tano hivi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
jingalao, itoe Zanzibar kwenye hiyo hesabu yako ya kuungaunga, visiwa vya Unguja na Pemba havina impact yoyote ile katika kura ya kumtafuta Raisi wa Jamhuri ya Muungano. Kwanza idadi ya wakazi wote wa visiwa hivyo pamoja na ambao hawajazaliwa kwa ujumla wao hawafiki hata milioni hiyo moja point tano uliyoitaja!kama milioni moja point tano hivi.