Kwa hiyo hulipi mpaka ukatiwe?? Acha hizokuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
wewe unalipa bila kutiwa?Kwa hiyo hulipi mpaka ukatiwe?? Acha hizo
Mkuu hata mm kifurushi changu kilikuwa kiishe tar 22 nashangaa hadi Leo hawajakatachannel zao naburudika tuu sio ni ofa ya siku kadhaakuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
Mkuu hata mm kifurushi changu kilikuwa kiishe tar 22 nashangaa hadi Leo hawajakatachannel zao naburudika tuu sio ni ofa ya siku kadhaa
Mm hawajanipigia ila tar 20 walituma SMS kuwa nilipie lakin sijalipa had Leo na channel zote ziko mubashara ,ndio maana nimekwambia itakuwa wameamua kitoa ofa ya siku kadhaa hata mm silipii had wanikatieofa ipi.wakati juzi customer care wao.kanipigia simu nilipe.
silipi mpake wakate
Acha ulofa kwa iyo unawakumbushia huku ili wakatekuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
kwani hawajui?wewe ndo utakuwa lofa.kama unadhani HAWAJUI.Acha ulofa kwa iyo unawakumbushia huku ili wakate
Sasa kama wamekupigia simu ulipe ndio ukaona uje kutuelezeakwani hawajui?wewe ndo utakuwa lofa.kama unadhani HAWAJUI.
mimi wamenipigia hadi simu kuwa nilipe.
ALAFU USIPENDE VYA BURE
nimewaelezea wewe na nani?Sasa kama wamekupigia simu ulipe ndio ukaona uje kutuelezea
nimewaelezea wewe na nani?
mbona sijamtag mtu mzee?
Usijekuanzisha uzi Siku watakayokata na wewe ndo ukalipia ila bado channel zikawa hazirud mpaka umalizie denikuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
hao siangalii.mimi naangalia maisha magic east.moyo,varshita.jela 5 star n.kKaangalie huba
Usijekuanzisha uzi Siku watakayokata na wewe ndo ukalipia ila bado channel zikawa hazirud mpaka umalizie deni