Zanzibar Becomes a Member of the United Nations

180213.jpg

UN Photo/YN

Zanzibar, which became independent on 10 December 1963, was admitted as the 112th state to membership in the United Nations today.

The delegation of Zanzibar seated in the United Nations General Assembly during this afternoon's meeting.
16 December 1963
United Nations, New York
Photo # 180213
btn_UNPH_v2.0_download.gif
Login for Download
Kumbe nilikuwa naota!
 
Naona mzee mzima Nguruvi3 anakipigia kwenye ligi yake.
Mkuu hawa jamaa waliona Watanganyika wapo kimya wakajua ni mazuzu. Walizua kila aina ya uongo, wananyonywa wanaonewa n.k. Siku hizi tumewaonyesha kila kitu wazi, hawana hoja

Tunawauliza wanaonewa wapi? Kwenye muungano hawana mchango hata senti
Bajeti yao inapata ruzuku.

Halafu kila mwezi wanapata 4% ya pato la Tanganyika
Acacia wakilipa kama inavyosemwa kwao ni neema maana kila shilingi kwao wanasenti bila jasho

Taasisi za muungano zimebebwa na Watanganyika. Hata wabunge wanaokuja kwa ajili yao wanalipiwa na kodi za Watanganyika. Tukiorodhesha ni aibu tu maana bill za umeme hawataki kulipa ingawa mwananchi wa Mbagala analipa. Watoto wao buree wanasoma tu hawajui mkopo n.k.

Leo wanasema hawataki muungano 'asilimia 85'. Well, kwanini asilimia kubwa hiyo wasikae kitako kama mwaka 2010 walipoandika katiba yao tena wakikiuka ya muungano bila kuadhibiwa na yoyote

Ni rahisi sana kwao kuliko Tanganyika, hawahaitaji kulalama, wanahitaji vitendo tu
 
Naomben nifahamishwe faida halisi (sio siasa) za huu muungano kwa Tanganyika mpka tuendelee kuwang'ang'ania hawa jamaa ambao kutwa kulialia hawautak...
...
Kama hakuna la maana tunalogain kutoka muungano hawa jamaa waachwe tu wakwende zao...
...
Binafs siwapendag hawa jamaa huwa wabaguz sana wakiwa kwao hii kitu wanatuita wabara "machogo" huwa nakereka sana

Hatuwezi tukawaacha waende zao maana watageuza Zanzibar kua kambi ya ISIS au AlShabab alafu waje watuvamie bure. Wanahitaji mtu kuwamonitor. Zanzibar ina almost 90% muslims unadhani msaada wataenda kuufuata wapi kama sio Qatar au Saudi Arabia? Wageuze nchi iwe islamic state alafu polepole udini uanze.
 
Hiyo picha ni ya zamani wakati mfalme yupo na waziri mkuu shamte hapo zanzibar wala haijapata uhuru maana uwez kusema una uhuru uku mfalme anaongoza nchi lakini waziri mkuu ndio shamte ambaye ni wa chama cha kipemba ZPPP, Zanzibar and Pemba People Party
.

Watu hao ni vibaraka wa warabu.

Wenyew wenye zanzibar yao wakafanya mapinduzi na ili kulinda zaid msitupindue na warab wenu tukasimika muungano.

Nakushangaaa Kweli miaka 2017 kuleta video za uhuru fake wakati mfalme akiwa mfalme zanzibar na waziri mkuu Shamte.
 
Wazanzibar wakiwa nchi huru.. Basi zanzibar itakua ni makako makuu ya alshabab

Hatuwezo tukawaacha waende zao maana watageuza Zanzibar kua kambi ya ISIS au AlShabab alafu waje watuvamie bure. Wanahitaji mtu kuwamonitor. Zanzibar ina almost 90% muslims unadhani msaada wataenda kuufuata wapi kama sio Qatar au Saudi Arabia? Wageuze nchi iwe islamic state alafu polepole udini uanze.
Wawe ISIS au AL Shabaab waachwe wawe huru wajiamulie mambo yao. Mambo ya wa Tanganyika kujifanya manabii ama waganga wa kienyeji kutabiri watakuwaje nao si hoja. Serikali ya muungano inaogopa nini waitishe kura ya maoni kuukata mzizi wa fitina na kuwaumbua hao wanaojulikana kama wachache. Vinginevyo viongozi wasiwaamulie wananchi bila utashi wao.
 
Manung'uniko yao moja ni kutokuwa na uwezo wa kukopa nje bila kupitia JMT a.k.a ''Tanganyika''

JK ameruhusu wakope na mikopo inakwenda Zanzibar bila kumnufaisha mabara.Ni haki yao
Utashangaa hawataki kukopa kama wao, wanataka udhamini wa JMT

Maana yake, wanaweza kukopa wakakataa kulipa kama walivyogoma kwa Tanesco , anayedaiwa ni mdhamini ambaye ni mlipa kodi wa Tanganyika.

Kwa mantiki hiyo wanaweza kukopa viyoyozi kila nyumba kwasababu kuna mdhamaini aliyebeba dhamana na linageuka kuwa suala la 'muungano' kwavile linawanufaisha

Waliposikia kuna 'mafuta' tendo la kwanza ilikuwa kufanya marekebisho ya kuondoa mafuta katika mambo ya muungano. Kwamba ni mali ya SMZ na si JMT

RaSIlimali za bara zinakwenda znz kwa njia ya kodi na 4%.
Kwamba, pato la Tanganyika klikiongezeka kwa upande wao 4% inaongezeka.

Hoja yao ni mtaji wa BoT ambao nadhani ukipigwa hesabu hawana kilichobaki tukizingatia bajeti imekuwa subsidized kwa miaka dahari, hawana gharama nyingine

Wakati wakisema mafuta si suala la muungano, elimu ya juu ambayo si suala la muungano hawataki kuikana.

Sababu ni rahisi,gharama katika vyuo vyao kwa udhamini wa JMT ni kubwa kuliko zile za SMZ. Wanafunzi wao wakisoma bure wenzao wa bara wakilipa mikopo. Hili hutawasikia

Gharama nyingine kama za Wabunge wao ambao ni mabilioni ya pesa wanapaswa kuzilipa kwasababu wapo Dodoma kwa ajili ya Zanzibar.

Hilo hawalisemi, lakini pia kuna sababu gani za wao kukaa Dodoma kujadili mambo yasiyo wahusu kama ufisadi wa madini? Ni kubebeshama mlipa kodi gharama tu

Hakuna tatizo wakiamua mambo yao, lakini matatizo yao wasiyafanye kama yameletwa na Tanganyika. Wanapaswa kupaza sauti kudai katiba ya Warioba iliyotenga washirika

Yale tunayoona yana faida kwa pande mbili yatakuwa ya muungano

Hapo watatembea duniani wakijiita Wznz. Hakuna tatizo

Walipoondoka znz kama ilivyosemwa na AG wao walikuwa na msimamo wa serikali 3

Walipofika Dodoma wakatawanyika na kupoteza uelekeo. Kwanini walalamikie Tanganyika!
 
180213.jpg

UN Photo/YN
Zanzibar Becomes a Member of the United Nations
Zanzibar, which became independent on 10 December 1963, was admitted as the 112th state to membership in the United Nations today.

The delegation of Zanzibar seated in the United Nations General Assembly during this afternoon's meeting.
16 December 1963
United Nations, New York
Photo # 180213
btn_UNPH_v2.0_download.gif
Login for Download
Ni vizuri sana kuota ndoto nzuri maana zinapunguza stress za makinikia...
 
Hatuwezo tukawaacha waende zao maana watageuza Zanzibar kua kambi ya ISIS au AlShabab alafu waje watuvamie bure. Wanahitaji mtu kuwamonitor. Zanzibar ina almost 90% muslims unadhani msaada wataenda kuufuata wapi kama sio Qatar au Saudi Arabia? Wageuze nchi iwe islamic state alafu polepole udini uanze.
Tuvamiwe na alshabab kwa lipi???
Kenya wanapakana na somalia lkn alshabaab hawajawah kuivamia Kenya mpka jeshi la Kenya lilipoanza kuvamia somalia...
Tunauwezo wa kuvunja muungano na tukabak salama cha muhimu tuendelee kuimarisha ulinzi kwny mipaka yetu kama tunavyofanya kwny mpka wa DRC ziwa Tanganyika
..
Ifike mahali tuwaache wapambane na hali yao though wataendelea kugombana wao kwa wao (wapemba vs waunguja)
 
Mkuu hawa jamaa waliona Watanganyika wapo kimya wakajua ni mazuzu. Walizua kila aina ya uongo, wananyonywa wanaonewa n.k. Siku hizi tumewaonyesha kila kitu wazi, hawana hoja

Tunawauliza wanaonewa wapi? Kwenye muungano hawana mchango hata senti
Bajeti yao inapata ruzuku.

Halafu kila mwezi wanapata 4% ya pato la Tanganyika
Acacia wakilipa kama inavyosemwa kwao ni neema maana kila shilingi kwao wanasenti bila jasho

Taasisi za muungano zimebebwa na Watanganyika. Hata wabunge wanaokuja kwa ajili yao wanalipiwa na kodi za Watanganyika. Tukiorodhesha ni aibu tu maana bill za umeme hawataki kulipa ingawa mwananchi wa Mbagala analipa. Watoto wao buree wanasoma tu hawajui mkopo n.k.

Leo wanasema hawataki muungano 'asilimia 85'. Well, kwanini asilimia kubwa hiyo wasikae kitako kama mwaka 2010 walipoandika katiba yao tena wakikiuka ya muungano bila kuadhibiwa na yoyote

Ni rahisi sana kwao kuliko Tanganyika, hawahaitaji kulalama, wanahitaji vitendo tu
mkuu unaonekana upo vyema ktk haya masuala ya muungano.

sasa ninaswali dogo tu sisi watanganyika/watu wa bara tunanufaika vipi na hili zigo la muungano hata tuling'ang'anie kiasi hiki?

yaani hata kodi zetu zinakatwa ruzuku ya kugharamia maisha ya watu wanao ona tunawanyonya?
 
Tuvamiwe na alshabab kwa lipi???
Kenya wanapakana na somalia lkn alshabaab hawajawah kuivamia Kenya mpka jeshi la Kenya lilipoanza kuvamia somalia...
Tunauwezo wa kuvunja muungano na tukabak salama cha muhimu tuendelee kuimarisha ulinzi kwny mipaka yetu kama tunavyofanya kwny mpka wa DRC ziwa Tanganyika
..
Ifike mahali tuwaache wapambane na hali yao though wataendelea kugombana wao kwa wao (wapemba vs waunguja)
Umesema Kenya hawajawah kuvamiwa na alshabab mpaka walipoenda somalia.. Ru siriaz au ndo stori za vijiweni hzo mnazolishana
 
Tanganyika ni nchi nzuri sana tofauti na wakoloni wengine! Yeye pamoja na kuwa na koloni la kimkakati kama Zanzibar lakini bado ni masikini wa kutupwa!! Yaani imeshindwa kuelewa maana ya kuwa mkoloni ni nini!! Eti mkoloni na koloni lake wote wanalia njaa!! Sasa na sisi wanzibar nao tunamatatizo,inakuwaje tunatawaliwa na nchi masikini??
 
Mi naona tu log out tu halafu kiwekwe kipengele wakitaka kubadilisha gia angani bac wanahesabika kama mkoa sio Nchi kama ilivyo sasa
 
mkuu unaonekana upo vyema ktk haya masuala ya muungano.

sasa ninaswali dogo tu sisi watanganyika/watu wa bara tunanufaika vipi na hili zigo la muungano hata tuling'ang'anie kiasi hiki?

yaani hata kodi zetu zinakatwa ruzuku ya kugharamia maisha ya watu wanao ona tunawanyonya?
Mkuu hakuna mahali tumewang'ang'ania. Fursa zimejitokeza mara nyingi sana

1. Miaka ya karibuni: Mwaka 2010 walifanya mabadiliko ya katiba ya SMZ ya 1984 bila kujali katiba ya JMT. Waliunda GNU na mambo kadhaa. Hakuna aliyewaadhibu. Kasome katiba ya JMT na ile ya mapinduzi ya 2010 utaona jinsi dharau ilivyotawala na jinsi walivyoachwa

2. Bunge la katiba: Wao walijivika koti kwamba ndio wanataka kuamua ni aina gani ya muungano
Kwanza walisema muungano wa mkataba ambao ni upuuzi wa juu. Unaungana kwa mkataba ili Tanganyika ifadike nini. Muungano wa mkataba waliutaka kwa hofu kubwa juu ya mambo yanayowakabili ya kiuchumi hasa ardhi, ajira na tegemezi nyingine

Ni wao ndio walioungana na CCM (Baadhi) kinyume na matakwa yao ya serikali 3. Watanganyika waliridhia na kusema kama ni serikali 3 na iwe, hawakuona ubaya au cha kupoteza the least to say
Waliokataa ni Wazanzibar . Nani aliwang'angania

3. Kwa hoja ya 1 hapo juu, bado wana fursa ya kutumia BLW kupitisha sheria kama ambavyo wamekuwa wanafanya kwa taasisi n.k. Hivyo wakae na kuamua kupitia BLW kuhusu kura ya maoni
Nani kawang'ang'ania! Ikumbukwe kura ya maoni haimuhusu 'mtuhumiwa' Mtanganyika

Kwa hayo machache unaweza kuona jinsi walivyo. Hizi lawama hazina maana kabisa

Nikupe mfano, juzi wamezindua kituo cha pamoja cha mawasiliano. Maana yake ni kuwa kodi za mawasiliano kama simu zitakatwa moja kwa moja na kuingia TRA. Sehemu ya kodi hizo itakwenda ZRB

Hii ina maana moja, kwamba, kodi za TRA zinazotokana na soko la watu milioni 45 zitakwenda katika mgao wa 4% wanayopata kila mwezi, bajeti na huduma zote za muungano
Kodi zinazokwenda ZRB zinabaki huko zikitoka soko la watu milioni 45 na kwenda soko la watu laki kadhaa.

Kumbuka wanaopiga simu kwenda ZNZ ni wznz walioko bara ambao wanatumia huduma kutokana na mapato ya TRA. Anapotokea mtu na kusema wananyonywa inashangaza

Ukitaka kujua hili waulize Zantel waliokuja na kusema znz ni soko lao kisha kuhamia bara
Mapato ya znz hayawezi kukidhi haja ya kampuni inayowekeza

Tulitarajia wznz wakatae ushirika wa mapato ya mawasiliano, hawakukataa kwasababu wao ndio wanaufaika. Halafu wanalalamika kutopewa fursa

Mfano wa pili, hivi ni kwanini wakope nje halafu dhamana imrudie Mtanganyika asihusika na mkopo huo. Huu utegemezi hawaukani, wanataka kuwa huru wakiwa mgongoni

Huwezi kuwa huru mgongoni mwa mwenzako tena ukitaka ucheze ngoma! Ney
 
Tanganyika ni nchi nzuri sana tofauti na wakoloni wengine! Yeye pamoja na kuwa na koloni la kimkakati kama Zanzibar lakini bado ni masikini wa kutupwa!! Yaani imeshindwa kuelewa maana ya kuwa mkoloni ni nini!! Eti mkoloni na koloni lake wote wanalia njaa!! Sasa na sisi wanzibar nao tunamatatizo,inakuwaje tunatawaliwa na nchi masikini??
Hapa ndipo tunauliza, ukoloni gani? Nini znz wametaka kufanya wakazuiwa?
Umasikini na utajiri havina uhusiano na muungano. Kuungana ni dhamira tofauti na umasikini ambao ni mipango na mikakati

Labda utueleze tusiojua wapi na kwa namna gani kuna ukoloni
 
Mkuu hakuna mahali tumewang'ang'ania. Fursa zimejitokeza mara nyingi sana

1. Miaka ya karibuni: Mwaka 2010 walifanya mabadiliko ya katiba ya SMZ ya 1984 bila kujali katiba ya JMT. Waliunda GNU na mambo kadhaa. Hakuna aliyewaadhibu. Kasome katiba ya JMT na ile ya mapinduzi ya 2010 utaona jinsi dharau ilivyotawala na jinsi walivyoachwa

2. Bunge la katiba: Wao walijivika koti kwamba ndio wanataka kuamua ni aina gani ya muungano
Kwanza walisema muungano wa mkataba ambao ni upuuzi wa juu. Unaungana kwa mkataba ili Tanganyika ifadike nini. Muungano wa mkataba waliutaka kwa hofu kubwa juu ya mambo yanayowakabili ya kiuchumi hasa ardhi, ajira na tegemezi nyingine

Ni wao ndio walioungana na CCM (Baadhi) kinyume na matakwa yao ya serikali 3. Watanganyika waliridhia na kusema kama ni serikali 3 na iwe, hawakuona ubaya au cha kupoteza the least to say
Waliokataa ni Wazanzibar . Nani aliwang'angania

3. Kwa hoja ya 1 hapo juu, bado wana fursa ya kutumia BLW kupitisha sheria kama ambavyo wamekuwa wanafanya kwa taasisi n.k. Hivyo wakae na kuamua kupitia BLW kuhusu kura ya maoni
Nani kawang'ang'ania! Ikumbukwe kura ya maoni haimuhusu 'mtuhumiwa' Mtanganyika

Kwa hayo machache unaweza kuona jinsi walivyo. Hizi lawama hazina maana kabisa

Nikupe mfano, juzi wamezindua kituo cha pamoja cha mawasiliano. Maana yake ni kuwa kodi za mawasiliano kama simu zitakatwa moja kwa moja na kuingia TRA. Sehemu ya kodi hizo itakwenda ZRB

Hii ina maana moja, kwamba, kodi za TRA zinazotokana na soko la watu milioni 45 zitakwenda katika mgao wa 4% wanayopata kila mwezi, bajeti na huduma zote za muungano
Kodi zinazokwenda ZRB zinabaki huko zikitoka soko la watu milioni 45 na kwenda soko la watu laki kadhaa.

Kumbuka wanaopiga simu kwenda ZNZ ni wznz walioko bara ambao wanatumia huduma kutokana na mapato ya TRA. Anapotokea mtu na kusema wananyonywa inashangaza

Ukitaka kujua hili waulize Zantel waliokuja na kusema znz ni soko lao kisha kuhamia bara
Mapato ya znz hayawezi kukidhi haja ya kampuni inayowekeza

Tulitarajia wznz wakatae ushirika wa mapato ya mawasiliano, hawakukataa kwasababu wao ndio wanaufaika. Halafu wanalalamika kutopewa fursa

Mfano wa pili, hivi ni kwanini wakope nje halafu dhamana imrudie Mtanganyika asihusika na mkopo huo. Huu utegemezi hawaukani, wanataka kuwa huru wakiwa mgongoni

Huwezi kuwa huru mgongoni mwa mwenzako tena ukitaka ucheze ngoma! Ney
mkuu swali linabaki pale pale kwanini maraisisi wa huku bara wanautetea kwa nguvu muungano? kuna nini hasa jwa upande wetu huku bara?
 
Kuna kitu kinaitwa 'legacy' . Utakumbuka Mwinyi ni mzanzibar naye alitetea muungano sana

Siku zote serikali zipo kulileta taifa pamoja, hata Cameron wa UK alisimama kutetea kura ya maoni ya Scotland. Hatujui kama alikuwa na dhamira hiyo lakini nafasi yake ilimlazimu iwe hivyo

Lakini pia unaweza kuona kwamba ndani ya muungano Tanganyika haikuwa na matatizo ikijua udogo wa znz kwa kila hali. Ilibeba mzigo huo kwa muda mrefu.

Nyongo inaanza kutumbuka znz inataka iwe muungano na si mshirika wa kweli wa muungano
Znz wanachangia muungano kwa malalamiko 'tunataka' bila kuonyesha nini tufanya kama Taifa.
Muungano haukosi matatizo lakini uongo unapokuwa sehemu ya madai inasikitisha

Unaweza kuona sakata la umeme na jinsi Rais alivyokuwa na uchungu.
Hata hivyo akiwa kiongozi kazi yake ya kwanza ni kulinda katiba ambayo ndani lipo suala la muungano

Kwamba hata bill za kuendesha shirika linalowapa umeme hawataki kulipa.

Hawataki tu kwasababu wanaamini wana nyonywa na wana mchango mkubwa sana katika muungano ambao kiuhalisi hauonekani unless awepo anayeweza kutupa darsa hapa jamvini kwa tusioelewa

Imefika mahali wznz wamejipa haki ya kuamua aina ya muungano unaotakiwa
Haki hiyo wanaipata wapi bila kujali upande wa pili.

Ndio maana tunasema ipo haja ya kukaa tena katika katiba, waeleze nasi tueleze
Tukikubaliana tushirikiane pale tunapohitilifiana kila mtu na nchi yake. Serikali 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom