Zanzibar Becomes a Member of the United Nations

Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
742
500

UN Photo/YN
Zanzibar Becomes a Member of the United Nations
Zanzibar, which became independent on 10 December 1963, was admitted as the 112th state to membership in the United Nations today.

The delegation of Zanzibar seated in the United Nations General Assembly during this afternoon's meeting.
16 December 1963
United Nations, New York
Photo # 180213
Login for Download
 

Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
742
500
Baada ya UN kuikubali zanzibar kuwa member wake na kupewa kiti umoja wa mataifa iko wapi idhibati kwamba wamejitoa nafasi yao katika UN. Zaidi ya propaganda tunazopewa na chama tawala kuwa tanganyika na zanzibar ni nchi moja hamna proof ya muungano wala ya kuonyesha kuwa zanzibar wamejisalimisha kuwa ni nchi katika nchi. Kwa sababu hiyo hamna shaka kuwa zanzibar imetawaliwa kimabavu. Resolution 1084 katika kikao cha 180 cha security council, nchi zote zilikubali kuwa zanzibar ni nchi huru.Sasa kilichobakia ni kuleta kura ya maoni aidha tukubali kutawaliwa au tubakie kama taifa huru lenye kiti chake UN.
\
 

Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
742
500
Ndoto za alinacha
Inaweza kuwa ni ndoto lakini ufahamu kuwa kila unachokiona wakati mmoja ilikuwa ni ndoto. WAzanzibari hawajaukubali muungano hilo halina mjadala na kila sababu ya kuwa na muungano haipo ila sababu yakutokuwa na muungano zipo nyingi tu. Lazima wenzetu wabara wakubali kuwa hivi tunavo kwenda hamna faida ila inazidi kuleta chuki baina yetu. NAkuuliza wewe huku duniani ukitembea unakutana na wazanzibari iko siku uliwasikia wakijinasibu kuwa wao ni watanzania?. Mtu nanakwambia mimi mzanzibari halafu ndio atakwambia mtanzania. 85% YA wazanzibari hawaukubali muungano. Uko wapi ushahidi wa muungano?????.
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,685
2,000
Inaweza kuwa ni ndoto lakini ufahamu kuwa kila unachokiona wakati mmoja ilikuwa ni ndoto. WAzanzibari hawajaukubali muungano hilo halina mjadala na kila sababu ya kuwa na muungano haipo ila sababu yakutokuwa na muungano zipo nyingi tu. Lazima wenzetu wabara wakubali kuwa hivi tunavo kwenda hamna faida ila inazidi kuleta chuki baina yetu. NAkuuliza wewe huku duniani ukitembea unakutana na wazanzibari iko siku uliwasikia wakijinasibu kuwa wao ni watanzania?. Mtu nanakwambia mimi mzanzibari halafu ndio atakwambia mtanzania. 85% YA wazanzibari hawaukubali muungano. Uko wapi ushahidi wa muungano?????.
Sasa kama una 85% kinachowashinda kuvunja ni kitu gani

Lakini pia Wznz wasiotaka muungano nusu yao wanaishi katika muungano
Nusu wa jamii ya wznz inategemea bara kuishi na mapato

Nusu ya bajeti ya znz inategemea bara ili kutekelezeka

Hakuna mznz , narudia hakuna anayesema vunja muungano, kila mmoja anakuja na model yake

Kama nyie mnaonufaika asilimia 100 hamuoni faida , mfuikirie Mtanganyika aliyebeba zigo lote mgongoni
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
9,990
2,000
Linapokuja suala la Muungano Wazanzibar wanatakiwa kumlaumu Hayati Sheikh Karume!!!

Ni kutokana na hofu yake kutoka kwa vijajana machachari wa Umma Party, ambao walikuwa ni wanapinduzi kweli kweli huku baadhi yao wakiwa na shule kama vile akina SAS na Mohammed Abdulrahman Babu; Karume akaona namna pekee ya kulinda madaraka yake ni kuungana na Tanganyika under the influence of CIA ambao nao pia walikuwa wanawahofia sana Umma Party kwamba wangeleta ukomunist wa Cuba kwenye Pwani ya Afrika Mashariki!!!!

The fear of another Cuba in East African Coast!!!!
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,599
2,000
Zanzibar sit in UN died in 1964 automatically after the regional soil mixture happened infront of The Blessed J K Nyerere and the Assassinated A. A. Karume.
Hili tendo lilikuwa la marafiki Wawili, na halina uhalali wa kuwanyang'anya WaTz na hasa waZanzibari uhuru wa kujiamulia aina ya maisha waitakayo ndani au nje ya muungano. Tumeiga huu muungano kwa wakoloni wetu, lakini angalau wao wana halalisha kwa kura za maoni, jambo ambalo kwetu ni haramu kutaka kujua maoni ya wananchi juu ya mustkbali wao. Huku kwetu eti viongozi ndiyo wanaotuamulia badala ya wananchi kujiamulia e.g. muungano
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,685
2,000
hasa waZanzibari uhuru wa kujiamulia aina ya maisha waitakayo ndani au nje ya muungano. Tumeiga huu muungano kwa wakoloni wetu, lakini angalau wao wana halalisha kwa kura za maoni, jambo ambalo kwetu ni haramu kutaka kujua maoni ya wananchi juu ya mustkbali wao. Huku kwetu eti viongozi ndiyo wanaotuamulia badala ya wananchi kujiamulia e.g. muungano
Kwani kuna jambo gani lianzuia Wazanzibar kuitisha kura ya maoni?
 

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,236
2,000
ipelekwe jukwaa LA utani.

ilikuwa 16-12-1963


ndipo ikawa mwanachama, na 1964 zilipoungana na Tanganyika walitumia kiti kimoja.

tuwe tunasoma na kuelewa waku
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,685
2,000
"Falconer, post: 21689863, member: 12212"] WAzanzibari hawajaukubali muungano hilo halina mjadala na kila sababu ya kuwa na muungano haipo ila sababu yakutokuwa na muungano zipo nyingi tu.
Ni wazanzibar waliotaka muungano wa mkataba au serikali tatu. Kama hawataki hebu nitajie kiongozi mmoja tu wa wazanzibar aliyesimama na kusema hataki muungano

Bunge la katiba Wazanzibar walisimama na CCM katika kuhakikisha katiba mpya haiptaikani
Laiti wangeungana na walinzani leo tusingekuwa tunalalama kama ufanyavyo

Watanganyika walisema serikali tatu ili nao wapumue. Mzigo wa muungano na Znz upo mgongoni mwao. Kilichotakiwa ni wazanzibar kuwaunga mkono kwa kumaliza tofauti za kisiasa. Hawakufanya!


Lazima wenzetu wabara wakubali kuwa hivi tunavo kwenda hamna faida ila inazidi kuleta chuki baina yetu.
Mbona wabara hawana chuki! Wangelikuwa nao wasingetoa 4% ya kodi zao na kugharamia muungano wenyewe. Chuki inaletwa na uongo wa ZNZ kunyonywa wakati inanyonya vizuri tu. Nieleze mkuu, Mtanganyika ana nufaika na kitu gani ndani ya muungano?
Mzanzibar anapunjwa nini ndani ya muungano?
NAkuuliza wewe huku duniani ukitembea unakutana na wazanzibari iko siku uliwasikia wakijinasibu kuwa wao ni watanzania?. Mtu nanakwambia mimi mzanzibari halafu ndio atakwambia mtanzania. 85% YA wazanzibari hawaukua muungano?????.
Huko duniani ni kweli, huku nchini si kweli kwasababu hakuna taifa lililobeba wznz wengi duniani kama Tanganyika
Nusu ya wznz wanaishi , wananufaika na kila kitu huku bara. Hao wanaojiita wznz wanajidanganya kwasababu mwisho wa siku ni Watanzania. Kama hawataki Utanzania ni rahisi, warudishe passport

Leo ikitangazwa muungano umevunjika, adha ni kwa wznz si Watanganyika. Hilo mtambue
Lakini pia kuna shida gani mkiitisha baraza la wawakilishi kama 2010 mkarekebisha katiba yenu, mkaitisha kura ya maoni kama ile ya GNU na mkatangaza matokeo yenu na kuamua hatma yenu?
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,685
2,000
ipelekwe jukwaa LA utani.

ilikuwa 16-12-1963


ndipo ikawa mwanachama, na 1964 zilipoungana na Tanganyika walitumia kiti kimoja.

tuwe tunasoma na kuelewa waku
Tumeelewa sana , tunajua kwanini wameleta hapa
Ndio maana tunawaambia nini kinawashinda kurudisha kiti chao UN kama 1963
Hatuoni sababu
 

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Eti Wazanzibar hawajaukubalu muungano? Wazanzibar gani hao?

Yaan mnataka Wazanzibar wa 2017 nao muukubali? wale waliokuwepo kabla ya ninyi waliukubali so, inatosha...

Kwani Mnakosa nini cha zaidi? maana nchi yenu ni Ndogo sana, punde mtaanza kuletwa huku bara muishi huku.
 

Pharm D

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,134
2,000
Naomben nifahamishwe faida halisi (sio siasa) za huu muungano kwa Tanganyika mpka tuendelee kuwang'ang'ania hawa jamaa ambao kutwa kulialia hawautak...
...
Kama hakuna la maana tunalogain kutoka muungano hawa jamaa waachwe tu wakwende zao...
...
Binafs siwapendag hawa jamaa huwa wabaguz sana wakiwa kwao hii kitu wanatuita wabara "machogo" huwa nakereka sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom